US MILITARY OFFICIAL: Meli ya USS Gerald R. Ford ilipata changamoto ya kuwaka moto wakati wa doria

US MILITARY OFFICIAL: Meli ya USS Gerald R. Ford ilipata changamoto ya kuwaka moto wakati wa doria

Hapana Mwamba, sijabadilisha akaunti,hii ni akaunti ya shemeji Yako,akaunti yangu Ina matattizo ,napambana kuiweka sawa.
Mkuu hii ni mara ya pili toka Dunia iumbwe marekani alifanyiwa kitu kibaya na Japan huko pearl harbor na baadae akatumia nuke.
Sasa safari hii Iran wamerudia Unyaama wa Japan,wairami wao wepiga Kambi zote za Marekani mashariki ya kati ,wamehafibu rada hata zile zilizokua zinaisaidia Ukraine,wamehafibu mifumo ya Ulinzi wa anga,mitambo ya mawasiliano,majengo ya ujasusi,bandari za melivita na bandari za kufanyia ukarabati wa meli,wameharibu viwanja vya ndegevita,wameharibu command center kubwa ya jeshi la Marekani wameharibu Kambi za jeshi la ardhini za Marekani na Kila aina ya kituo Cha msaada wa kijeshi Cha marekani mashariki ya kati wamepiga.
Hivyo vyote ni vya marekani,lakini pia vituo kamavivyo vya Israel havikubaki salama.
Je buoni hapo Israel akatumia SAMSON OPTION?
Au marekani akapiga nuke?

Njoo kwa Urusi na china.
Hawa jamaa wawili wamepata nafasi ya kulipa kisasi kimyakimya.
Alichokua anakifanya USA kumpa taarifa muhimu na silaha Ukraine ili kumdhoofisha Urusi Sasa nae Urusi kapata furaha ya kumpa silaha na taarifa muhimu Irani ili kumdhoofisha USA.

China nae anatumia nafasi hiyo kumdhoofisha USA kijeshi na kiuchumi ili kujihalikishia utulivu na amani.

Wakati huohuo Kuna unafiki wa waarabu wanaojifanya wanapenda Marekani kumbe wameichoka ,wanatamani marekani itoke kwenye ardhi Yao ili wawe huru,Hawa wanaweza kua wanaipa Irani taarifa za Kambi za Marekani kwa Siri.
Mfano huko Iraq Kuna raia wameanza kuwashughulikia wanajeshi wa Marekani.
Siamini baada ya vita hii kama Marekani atatamani kubaki ghuba.

Hii vita marekani na Isarel itawapa taabu sana maana nyuma yake Kuna hasira zilizojificha za maadui wa USA.

Sasa hivi pande zote mbili zimeishiwa ADS ndio maana Kuna piga nikupige,lkn walioathirika sana ni Marekani na Israel maana hata kiuchumi wameumizwa.
Aaah umetumia ya shemegi msalimie
Marekani anapigwa analeta sound anasema manuari imeungua yenyewe
Ndege zake zinaanguka zenyewe ama kweli
 
Sio Armata TU,Bali watu wengi walitudharau na kitifanyia Kila aina ya kejeli na dharau,le Kiko wapi.
Hebu fikiria Aircraft carrier ililetwa uwanja wa vita lkn Sasa hivi ikefichwa je kazi yake ilikua ni Nini?kupigia picha?

Njoo kwa US bases,mfano zote za middle east,mbona zote zimekimbiwa,zilijengwa za Nini?
Kazi au malengo ya hizo basses ilikua Nini? Mbona hazitumiki?
Maana yake hizo Aircraft carriers na hizo Kambi zilikua ni Kwa vita ndogondogo TU,lkn vita na wakubwa wenzake wanajeshi wataziacha na kwenda majumbani kwao na kukaa Kwenye TV kuangalia zinavyotekeyea kwa moto.
Huyo ni Iran ni Cha mtoto,siku ikitokea vita kati ya USA na Urusi au na china hizo Aircraft carriers na Kambi zote za USA popote duniani zitakua historia.
Hao 🇨🇳 na Russia 🇷🇺 ni wakubwa sana mbele ya americant
 
Habari ya ajabu kabisa hii.
Hii ni hasara ya Hali ya juu sana.
Hii vita hata ikaisha Leo Mabeberu watakua wamepata hasara kubwa mno

The Wall Street Journal


LIVE
15 hours ago

Five Air Force Refueling Planes Hit in Iranian Strike on Saudi Arabia​

By

Lara Seligman
and

Shelby Holliday
Five U.S. Air Force refueling planes were struck and damaged on the ground at Prince Sultan air base in Saudi Arabia, according to two U.S. officials.
The tankers were hit during an Iranian missile strike on the Saudi base in recent days, the officials said. U.S. Central Command declined to comment. The tankers were damaged but not fully destroyed and are being repaired, one of the officials said. No one was killed in the strikes.
 
Back
Top Bottom