US MILITARY OFFICIAL: Meli ya USS Gerald R. Ford ilipata changamoto ya kuwaka moto wakati wa doria

US MILITARY OFFICIAL: Meli ya USS Gerald R. Ford ilipata changamoto ya kuwaka moto wakati wa doria


Kulingana na taarifa rasmi za kijeshi la wanamaji la Marekani US NAVY zilizotolewa kuhusiana na tukio la kuzuka kwa moto ndani ya meli ya USS Gerald R. Ford (CCVN-78):

Moto huo ulitokea tarehe 12 Machi, 2026.

Moto ulianza majira ya jioni wakati meli hiyo ikiwa katika doria za kawaida (routine operations) kwenye Bahari Nyekundu.


Ripoti za awali zilionyesha kuwa moto ulisababishwa na hitilafu ya kiufundi katika mashine za kukaushia nguo (industrial dryers) kwenye eneo la dobi la meli hiyo na kujeruhiwa mabaharia wawili.

Tukio hili limekuja wakati ambap kuna tahadhari kubwa katika ukanda huo kutokana na mivutano mkubwa kati ya Marekani na Iran, ambapo meli hiyo inatumika kama kituo kikuu cha mashambulizi na ulinzi wa anga.

View attachment 3557142


Taarifa rasmi: https://www.cusnc.navy.mil/Media/News/Display/Article/4431969/statement-of-uss-gerald-r-ford/
Ilipata changaMOTO ya kuungua MOTO (yenyewe tu!?) Basi sawa
20260307_160040.jpg
 
Ndio maana Urusi Hana Aircraft carriers nyingi,kumbe ni kweli hazi hazina maana sana,maana zinapigika kirahisi TU Kwa adui akiwa na uwezo mdogo TU.

Hapa wa Houth April 2025 waliifanyia kweli hii
USA Harry S.Truman,tukaambiwa imepata ajali.

Iran wakacheza na Abraham Lincoln,ikahamishwa eneo la vita

Leo hii hiyo nyingine tunaambiwa imepata ajali ya moto.aisee.


Houthis attack U.S. aircraft carrier in response to airstrikes on Yemen. SANAA, April 11 (Xinhua) -- Yemen's Houthi group said Friday it attacked the USS Harry S. Truman aircraft carrier and warships in the Red Sea "with cruise missiles and drones" during the past few hours in response to the U.S. airstrikes on Yemen.11 Apr 2025

Nasema Mimi, Lee Van Cliff
 
😄😄🤣 Unaambiwa huo Moshi wote ni hitlafu
Pengine wangetwambia hitlafu imesababishwa na kuni!!
wanapikia kuni saaa zimenyeshewa na mvua. Sisi wa rudewa tungewaelewa 😅😅😅😅

Kulingana na taarifa rasmi za kijeshi la wanamaji la Marekani US NAVY zilizotolewa kuhusiana na tukio la kuzuka kwa moto ndani ya meli ya USS Gerald R. Ford (CCVN-78):

Moto huo ulitokea tarehe 12 Machi, 2026.

Moto ulianza majira ya jioni wakati meli hiyo ikiwa katika doria za kawaida (routine operations) kwenye Bahari Nyekundu.


Ripoti za awali zilionyesha kuwa moto ulisababishwa na hitilafu ya kiufundi katika mashine za kukaushia nguo (industrial dryers) kwenye eneo la dobi la meli hiyo na kujeruhiwa mabaharia wawili.

Tukio hili limekuja wakati ambap kuna tahadhari kubwa katika ukanda huo kutokana na mivutano mkubwa kati ya Marekani na Iran, ambapo meli hiyo inatumika kama kituo kikuu cha mashambulizi na ulinzi wa anga.

View attachment 3557142


Taarifa rasmi: https://www.cusnc.navy.mil/Media/News/Display/Article/4431969/statement-of-uss-gerald-r-ford/
Kawaida tu changamoto ya Afya itapona tu.
 
Ahsante mkuu nimekaribia za masiki bana
Mazwazwa hawazinduki hawa ila mara hii tutawazibua kinguvu
Salama mkuu🙏.

Mizwazwa mwaka huu watazinduka tu!

tumeona tuanze na Jehova wao uko Israel anatandikwa asubui mchana usiku!!!

njia pekee kwao kwasasa Walokole watafute Jehova mpyaaa mapema 😅😅😅
 
Ulipotea sana Mwamba.
Huko Kubwa la maadui linachezea sana.
Marekani safari hii kakutana na Honeybarger.
Nasema Mimi,Lee Van Cliff
Nipo kaka majukumu tu ya hapa na pale
Naona umekuja na Jina jipya kabisa
Marekani bila ya nyuklia hii vita hashindi
 
Ndio maana Urusi Hana Aircraft carriers nyingi,kumbe ni kweli hazi hazina maana sana,maana zinapigika kirahisi TU Kwa adui akiwa na uwezo mdogo TU.

Hapa wa Houth April 2025 waliifanyia kweli hii
USA Harry S.Truman,tukaambiwa imepata ajali.

Iran wakacheza na Abraham Lincoln,ikahamishwa eneo la vita

Leo hii hiyo nyingine tunaambiwa imepata ajali ya moto.aisee.


Houthis attack U.S. aircraft carrier in response to airstrikes on Yemen. SANAA, April 11 (Xinhua) -- Yemen's Houthi group said Friday it attacked the USS Harry S. Truman aircraft carrier and warships in the Red Sea "with cruise missiles and drones" during the past few hours in response to the U.S. airstrikes on Yemen.11 Apr 2025

Nasema Mimi, Lee Van Cliff
Tulikua tunamwambia sana T14 Armata kwamba hayo makweche kweche kwenye nchi yenye uwezo wa kijeshi ni kama ngarawa tuuu
 
Salama mkuu🙏.

Mizwazwa mwaka huu watazinduka tu!

tumeona tuanze na Jehova wao uko Israel anatandikwa asubui mchana usiku!!!

njia pekee kwao kwasasa Walokole watafute Jehova mpyaaa mapema 😅😅😅
Kabisa tunapiga za ugoko yaanj
 
Hawa jamaa hadi leo wapo na ile mindset ya miaka ya 40 huko. Bado hawaamini kwamba zama zinabadilika
Yaani kumbe Huwa tunawashangaa ccm lakini siasa zao na ccm it's the same thing 🤣

Propaganda za kijinga sana and a fools Will understand
 
Tulikua tunamwambia sana T14 Armata kwamba hayo makweche kweche kwenye nchi yenye uwezo wa kijeshi ni kama ngarawa tuuu
Mavyuma vyuma 🤣🤣🤣

Dunia ya leo unakuwa na mavyuma vyuma yanayo tembea baharini halafu unakutana na muhuni amekaa gheto tu anakurushia missile huko huko ulipo ..dahhh Iran nyoko sana
 
Tulikua tunamwambia sana T14 Armata kwamba hayo makweche kweche kwenye nchi yenye uwezo wa kijeshi ni kama ngarawa tuuu
Sio Armata TU,Bali watu wengi walitudharau na kitifanyia Kila aina ya kejeli na dharau,le Kiko wapi.
Hebu fikiria Aircraft carrier ililetwa uwanja wa vita lkn Sasa hivi ikefichwa je kazi yake ilikua ni Nini?kupigia picha?

Njoo kwa US bases,mfano zote za middle east,mbona zote zimekimbiwa,zilijengwa za Nini?
Kazi au malengo ya hizo basses ilikua Nini? Mbona hazitumiki?
Maana yake hizo Aircraft carriers na hizo Kambi zilikua ni Kwa vita ndogondogo TU,lkn vita na wakubwa wenzake wanajeshi wataziacha na kwenda majumbani kwao na kukaa Kwenye TV kuangalia zinavyotekeyea kwa moto.
Huyo ni Iran ni Cha mtoto,siku ikitokea vita kati ya USA na Urusi au na china hizo Aircraft carriers na Kambi zote za USA popote duniani zitakua historia.
 
Etii Honeybarger kamnyama kakorofi hako😀
Honey badger anaitwa Fearless animal,huyu mwamba anaweza kusimamisha Simba wanne peke yake,anampiga biti chui,fisi,mbwa mwitu,koboko na hata alijaribu kumbishia tembo.
Haogopi wala hatishwi na wowote porini.
Huyo ndio Iran.
Nasema Mimi,Lee Van Cliff
 
Nipo kaka majukumu tu ya hapa na pale
Naona umekuja na Jina jipya kabisa
Marekani bila ya nyuklia hii vita hashindi
Hapana Mwamba, sijabadilisha akaunti,hii ni akaunti ya shemeji Yako,akaunti yangu Ina matattizo ,napambana kuiweka sawa.
Mkuu hii ni mara ya pili toka Dunia iumbwe marekani alifanyiwa kitu kibaya na Japan huko pearl harbor na baadae akatumia nuke.
Sasa safari hii Iran wamerudia Unyaama wa Japan,wairami wao wepiga Kambi zote za Marekani mashariki ya kati ,wamehafibu rada hata zile zilizokua zinaisaidia Ukraine,wamehafibu mifumo ya Ulinzi wa anga,mitambo ya mawasiliano,majengo ya ujasusi,bandari za melivita na bandari za kufanyia ukarabati wa meli,wameharibu viwanja vya ndegevita,wameharibu command center kubwa ya jeshi la Marekani wameharibu Kambi za jeshi la ardhini za Marekani na Kila aina ya kituo Cha msaada wa kijeshi Cha marekani mashariki ya kati wamepiga.
Hivyo vyote ni vya marekani,lakini pia vituo kamavivyo vya Israel havikubaki salama.
Je buoni hapo Israel akatumia SAMSON OPTION?
Au marekani akapiga nuke?

Njoo kwa Urusi na china.
Hawa jamaa wawili wamepata nafasi ya kulipa kisasi kimyakimya.
Alichokua anakifanya USA kumpa taarifa muhimu na silaha Ukraine ili kumdhoofisha Urusi Sasa nae Urusi kapata furaha ya kumpa silaha na taarifa muhimu Irani ili kumdhoofisha USA.

China nae anatumia nafasi hiyo kumdhoofisha USA kijeshi na kiuchumi ili kujihalikishia utulivu na amani.

Wakati huohuo Kuna unafiki wa waarabu wanaojifanya wanapenda Marekani kumbe wameichoka ,wanatamani marekani itoke kwenye ardhi Yao ili wawe huru,Hawa wanaweza kua wanaipa Irani taarifa za Kambi za Marekani kwa Siri.
Mfano huko Iraq Kuna raia wameanza kuwashughulikia wanajeshi wa Marekani.
Siamini baada ya vita hii kama Marekani atatamani kubaki ghuba.

Hii vita marekani na Isarel itawapa taabu sana maana nyuma yake Kuna hasira zilizojificha za maadui wa USA.

Sasa hivi pande zote mbili zimeishiwa ADS ndio maana Kuna piga nikupige,lkn walioathirika sana ni Marekani na Israel maana hata kiuchumi wameumizwa.
 
Back
Top Bottom