US na EU zimesema, vita ya maneno na matamko imekwisha sasa ni vitendo

US na EU zimesema, vita ya maneno na matamko imekwisha sasa ni vitendo

Huyo Trump pia ana kesi ya kuuwa watoto wa shule ya chekechea Irani

Mwendawazimu hajui tofauti ya mauaji ya mashetani ya Tanzania vs mauaji ya watoto huko Iran.

Kwenye vita, kunaweza kutokea lolote, including friendly fire, au vifo vya wasiohusika, ambao hawakuwa target, kama ilivyoyokea huko Iran.

Ungekuwa ni mwenye akili japo kidogo, ungeeleza, kama maelfu wote wa Tanganyika waliouawa na wanaoendelea kutekwa huwa ni kwa bahati mbaya, na hawakuwa kusudio.

Lakini kwa wewe, nina uhakika huna akili, hutaweza kuwafanya argument yoyote yenye ashirio la logical thinking, unachokiweza ni uropokaji pekee.
 
Wakamate account za wahusika wa yale mauaji zilizofunguliwa ulaya na marekani.

Kwasababu hawa jamaa wanathamini sana pesa zaidi ya utu, ndio maana kila siku wanahubiri amani ili vitega uchumi vyao ndani ya Tanganyika viwe salama, wala sio usalama wa watanganyika.

Hawataki kusikia haki kwasababu haina maana yoyote kwa vitega uchumi vyao wala kwao wenyewe.
Naam, na hii niliwahi kuisema humu wakifanya hivyo majizi hayana ujanja yatainua mikono juu.

Abramovich alinyooshwa kwa mtindo huu, maana wanaofadhili serikali haramu wanajulikana.
 
Na ndiyo kwanza Samuya anazidi kuteka na kuumiza Watanganyika hii ya leo leo msaidizi wa Lissu
SnapInsta.to_705381654_18592903552010804_9138002456895050198_n.jpg
SnapInsta.to_703987554_18592903570010804_4855323701207072663_n.jpg
 
Attachments

  • SnapInsta.to_702903304_18592903561010804_5095632844050695706_n.jpg
    SnapInsta.to_702903304_18592903561010804_5095632844050695706_n.jpg
    64.3 KB · Views: 11
Mswada upo bungeni kinachosubiriwa ni Trump kuweka sahihi.

U.S. Senate Fioreign Relations Committee Chairman, Sen. Jim Risch, R-Idaho alishauri iundwe tume huru ya kimataifa mkampuuza.

U.S. Senate Foreign Relations Committee | Ranking Member Senator Shaheen, amesema sana.

Bunge la Ulaya limesema sana mkalipuuza.

Tukawajibu Who are you, we are sovereign state hatuingiliwi wala hatupangiwi cha kufanya.

Mmeligusa Kanisa, mmemuonea Lissu asiye na hatia, mnateka watu, mmeua watu wasio na hatia, nyie wenyewe mmekiri mmeua 518.

Majivuno huzaa kiburi, kiburi huzaa kifo, kitanzi kiko shingoni.

Take this while ICC is on the pipe, shenzi type.

SASA NI VITENDO TU
View attachment 3592111
Tzn Kwa Sasa inaelekea Asia na Russia ,hayo ya Wazungu sio muhimu Kwa Sasa.
 
Safari njema kwa mrusi mtaambulia AK47 kwa mchina kwake ni faida tu hata muuane makumi elfu.
Kwani nani alikuwa haangalii faida?

Siasa za Vyama vingi Hazina maana zaidi ya kuleta vurugu na utovu wa nidhamu kama Kenya.

Egypt ni kibaraka wa beberu na anajua Wapinzani hakuna wanachowasaidia ila Tzn tumekaataa kuwa vibaraka
 
Nchi masikini kama Tanzania haina ubavu mbele ya mzungu.
 
Nchi masikini kama Tanzania haina ubavu mbele ya mzungu.
Ubavu upo,ndio imekataa Sasa kupiga magoti si wanawatumia Wapinzani ngoja tuone.

Dunia ya saizi inaangalia Rasilimali zaidi kuliko hizo ngonjera za siasa.
 
Ubavu upo,ndio imekataa Sasa kupiga magoti si wanawatumia Wapinzani ngoja tuone.

Dunia ya saizi inaangalia Rasilimali zaidi kuliko hizo ngonjera za siasa.
Kibano kikibana zaidi atanyooka tu wait a minute. Hakuna mkate ngumu kwenye chai.
 
Samia anaenda kupumzika,wa kinyooka nani? CCM hawana Mpango wa kuachia utamu.
Freeze of property huwa haikwepeki inafuata popote utakapoenda hata ajifiche kwa wajomba.

Mimi trump atanijulia wapi hata viza hainihusu naendelea kula ugali wangu niliouzoea huku nankurukuru.
 
Freeze of property huwa haikwepeki inafuata popote utakapoenda hata ajifiche kwa wajomba.

Mimi trump atanijulia wapi hata viza hainihusu naendelea kula ugali wangu niliouzoea huku nankurukuru.
Kama wameficha Mali huko ughaibuni wazi freeze tuu
 
Back
Top Bottom