CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Endelea kusoma majibu ya maswali yako utayapa humu.humu JFMbona amefungwa pingu mkononi hafu anaonekana kama yuko nyumbani,?!! kafunga hadi nguo ya mke wake duh!!
Endelea kusoma majibu ya maswali yako utayapa humu.humu JFMbona amefungwa pingu mkononi hafu anaonekana kama yuko nyumbani,?!! kafunga hadi nguo ya mke wake duh!!
mwigulu juzi kasema rais samia kaagiza kufuta sheria ya kutaifisha mali; wanawaandaa watanzania waifute ili watoto wao na wao wakitoka madarakani wasiporwe mali. wamejifunza kwa rais rungu wa zambia, mtoto wake alikuwa na majumba rundo maeneo kama ya masaki ya kule kwao, wakamwambia aeleze amezipateja, hana jibu, wakataifisha. sasa mwigulu na samia hawataki tuje tupore mali kwa abdul na wenzake kina mchengerwa.Wakamate account za wahusika wa yale mauaji zilizofunguliwa ulaya na marekani.
Kwasababu hawa jamaa wanathamini sana pesa zaidi ya utu, ndio maana kila siku wanahubiri amani ili vitega uchumi vyao ndani ya Tanganyika viwe salama, wala sio usalama wa watanganyika.
Hawataki kusikia haki kwasababu haina maana yoyote kwa vitega uchumi vyao wala kwao wenyewe.
mpipasho na porojo nonsense kama hizi ni vitu useless sana gentleman,
hakuna haja ya kubabaika navyo saaana 🐒
Watoto wanao andaliwa kuwa magaidi bora wafe tuu kumamaee zaoHuyo Trump pia ana kesi ya kuuwa watoto wa shule ya chekechea Irani
Wewe ambaye unamini au umedanganywa kuwa yale makombola katika Ile shule ya chekechea yalitua Kwa bahati mbaya ndio Hauna akili ila watu wote duniani wenye akili wamelaani kitendo Cha Trump kuua watoto wasio na hatiaMwendawazimu hajui tofauti ya mauaji ya mashetani ya Tanzania vs mauaji ya watoto huko Iran.
Kwenye vita, kunaweza kutokea lolote, including friendly fire, au vifo vya wasiohusika, ambao hawakuwa target, kama ilivyoyokea huko Iran.
Ungekuwa ni mwenye akili japo kidogo, ungeeleza, kama maelfu wote wa Tanganyika waliouawa na wanaoendelea kutekwa huwa ni kwa bahati mbaya, na hawakuwa kusudio.
Lakini kwa wewe, nina uhakika huna akili, hutaweza kuwafanya argument yoyote yenye ashirio la logical thinking, unachokiweza ni uropokaji pekee.
Mimi sijui kinachoendelea Marekani tujuze nini kinaendelea.Kwamba wewe tu ndo unajua kinachoendelea marekani dhidi ya tanzania?
Ukiwa unaongea kama vile mtu...tanzania haitishiki kisa vitisho vyenu vya kutengeneza mtandaoni
Marekani wakiwa wehu Samia muuaji atakuwa nani SasaHz ngojera hz
Zinawafanya muonekane kama wehu..
Marekani siyo muuaji?Marekani wakiwa wehu Samia muuaji atakuwa nani Sasa
Jitafakari
Kila mbabe na mbabe wake.Marekani siyo muuaji?
Jitafakari na wewe!
Naona unafuatilia kila Muswada wa Mabwana zako huko US na EU.Mswada upo bungeni kinachosubiriwa ni Trump kuweka sahihi.
U.S. Senate Fioreign Relations Committee Chairman, Sen. Jim Risch, R-Idaho alishauri iundwe tume huru ya kimataifa mkampuuza.
U.S. Senate Foreign Relations Committee | Ranking Member Senator Shaheen, amesema sana.
Bunge la Ulaya limesema sana mkalipuuza.
Tukawajibu Who are you, we are sovereign state hatuingiliwi wala hatupangiwi cha kufanya.
Mmeligusa Kanisa, mmemuonea Lissu asiye na hatia, mnateka watu, mmeua watu wasio na hatia, nyie wenyewe mmekiri mmeua 518.
Majivuno huzaa kiburi, kiburi huzaa kifo, kitanzi kiko shingoni.
Take this while ICC is on the pipe, shenzi type.
SASA NI VITENDO TU
View attachment 3592111
Pitishe muswada kwenye Bunge batili ku ishughulikia USHuyo Trump pia ana kesi ya kuuwa watoto wa shule ya chekechea Irani