US na EU zimesema, vita ya maneno na matamko imekwisha sasa ni vitendo

Huyo Trump pia ana kesi ya kuuwa watoto wa shule ya chekechea Irani

Mwendawazimu hajui tofauti ya mauaji ya mashetani ya Tanzania vs mauaji ya watoto huko Iran.

Kwenye vita, kunaweza kutokea lolote, including friendly fire, au vifo vya wasiohusika, ambao hawakuwa target, kama ilivyoyokea huko Iran.

Ungekuwa ni mwenye akili japo kidogo, ungeeleza, kama maelfu wote wa Tanganyika waliouawa na wanaoendelea kutekwa huwa ni kwa bahati mbaya, na hawakuwa kusudio.

Lakini kwa wewe, nina uhakika huna akili, hutaweza kuwafanya argument yoyote yenye ashirio la logical thinking, unachokiweza ni uropokaji pekee.
 
Naam, na hii niliwahi kuisema humu wakifanya hivyo majizi hayana ujanja yatainua mikono juu.

Abramovich alinyooshwa kwa mtindo huu, maana wanaofadhili serikali haramu wanajulikana.
 
Na ndiyo kwanza Samuya anazidi kuteka na kuumiza Watanganyika hii ya leo leo msaidizi wa Lissu
 
Attachments

  • SnapInsta.to_702903304_18592903561010804_5095632844050695706_n.jpg
    64.3 KB · Views: 11
Tzn Kwa Sasa inaelekea Asia na Russia ,hayo ya Wazungu sio muhimu Kwa Sasa.
 
Safari njema kwa mrusi mtaambulia AK47 kwa mchina kwake ni faida tu hata muuane makumi elfu.
Kwani nani alikuwa haangalii faida?

Siasa za Vyama vingi Hazina maana zaidi ya kuleta vurugu na utovu wa nidhamu kama Kenya.

Egypt ni kibaraka wa beberu na anajua Wapinzani hakuna wanachowasaidia ila Tzn tumekaataa kuwa vibaraka
 
Nchi masikini kama Tanzania haina ubavu mbele ya mzungu.
 
Nchi masikini kama Tanzania haina ubavu mbele ya mzungu.
Ubavu upo,ndio imekataa Sasa kupiga magoti si wanawatumia Wapinzani ngoja tuone.

Dunia ya saizi inaangalia Rasilimali zaidi kuliko hizo ngonjera za siasa.
 
Ubavu upo,ndio imekataa Sasa kupiga magoti si wanawatumia Wapinzani ngoja tuone.

Dunia ya saizi inaangalia Rasilimali zaidi kuliko hizo ngonjera za siasa.
Kibano kikibana zaidi atanyooka tu wait a minute. Hakuna mkate ngumu kwenye chai.
 
Samia anaenda kupumzika,wa kinyooka nani? CCM hawana Mpango wa kuachia utamu.
Freeze of property huwa haikwepeki inafuata popote utakapoenda hata ajifiche kwa wajomba.

Mimi trump atanijulia wapi hata viza hainihusu naendelea kula ugali wangu niliouzoea huku nankurukuru.
 
Freeze of property huwa haikwepeki inafuata popote utakapoenda hata ajifiche kwa wajomba.

Mimi trump atanijulia wapi hata viza hainihusu naendelea kula ugali wangu niliouzoea huku nankurukuru.
Kama wameficha Mali huko ughaibuni wazi freeze tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…