US na EU zimesema, vita ya maneno na matamko imekwisha sasa ni vitendo

mwigulu juzi kasema rais samia kaagiza kufuta sheria ya kutaifisha mali; wanawaandaa watanzania waifute ili watoto wao na wao wakitoka madarakani wasiporwe mali. wamejifunza kwa rais rungu wa zambia, mtoto wake alikuwa na majumba rundo maeneo kama ya masaki ya kule kwao, wakamwambia aeleze amezipateja, hana jibu, wakataifisha. sasa mwigulu na samia hawataki tuje tupore mali kwa abdul na wenzake kina mchengerwa.
 
Wewe ambaye unamini au umedanganywa kuwa yale makombola katika Ile shule ya chekechea yalitua Kwa bahati mbaya ndio Hauna akili ila watu wote duniani wenye akili wamelaani kitendo Cha Trump kuua watoto wasio na hatia

Alafu ulivyo kilaza unasema eti katika vita lolote linatokea kulikuwa na vita pale?

Lile ni shambulizi la kuvizia sio vita

Kwa kuwa wewe ni kilaza ngoja nikuambie Kwa nini Marekani na Israel waliwaua wale watoto

Ile ni shule inayohusika na kuandaa wanasayansi wa Irani
Wanasayansi wote mahili wa Irani wamepikwa pale Marekani na Israel wanalijua hilo kasoro wewe tu kilaza

Kuwauwa wale watoto wa chekechea haikuwa bahati mbaya ila ulikuwa mpango mkakati wa Marekani na Israel Kwa chuki zao kuhusu maendeleo ya Irani
 
Maneno yamekwisha sasa ni vitendo, jamaa huwa hawatanii.
 
Kwamba wewe tu ndo unajua kinachoendelea marekani dhidi ya tanzania?

Ukiwa unaongea kama vile mtu...tanzania haitishiki kisa vitisho vyenu vya kutengeneza mtandaoni
Mimi sijui kinachoendelea Marekani tujuze nini kinaendelea.
 
Naona unafuatilia kila Muswada wa Mabwana zako huko US na EU.

TZ ni nchi huru tuna uhuru wakuchagua nchi ya kushirikiana nayo kwa sasa mshirika mkubwa ni China akisema huyo ndio tunaweweseka tunatumia almost 90% vifaa toka China. US ameshaondoa misaada yake Ukimwi na bado tunadunda tu.

Inavyoonekana hata hapo kwako unategemea misaada sana wewe ni ombaomba ukinyimwa tu unachanganyikiwa.
 
Jana Marekani leo EU ni bampa kwa bampa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…