US na Israel wanatufundisha kuwa na marafiki/ndugu wanaokufaa wakati wa shida tu

US na Israel wanatufundisha kuwa na marafiki/ndugu wanaokufaa wakati wa shida tu

Una account mbili humu huyo huyo mmoja unajianzishia thread huyo huyo mmoja unajibu jibu mwenyewe.

IQ 50 bila shaka.
Hizo ni hisia zako, siwezi kuzijadili maana ni hisia za uongo. Karibu utoe maoni kwenye mada kama unahoja mkuu.
 
Tunisia imeshawahi kutawala Ulaya, Cathage empire ilikuwa kidogo waipindue dola ya Rumi. Suala la mabibi zetu kuwa wazembe sio excuse ya kutafuta huruma mitandaoni.
 
Back
Top Bottom