matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Aug 29, 2024 Thread starter #21 Mi mi said: Umeanza kufuatilia lini siasa za kimataifa hasa zinazo gusa mashariki ya kati ? Click to expand... Siku zote tangu shule ya msingi.
Mi mi said: Umeanza kufuatilia lini siasa za kimataifa hasa zinazo gusa mashariki ya kati ? Click to expand... Siku zote tangu shule ya msingi.
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 2,748 Reaction score 5,112 Aug 29, 2024 #22 matunduizi said: Siku zote tangu shule ya msingi. Click to expand... Una account mbili humu huyo huyo mmoja unajianzishia thread huyo huyo mmoja unajibu jibu mwenyewe. IQ 50 bila shaka.
matunduizi said: Siku zote tangu shule ya msingi. Click to expand... Una account mbili humu huyo huyo mmoja unajianzishia thread huyo huyo mmoja unajibu jibu mwenyewe. IQ 50 bila shaka.
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 2,748 Reaction score 5,112 Aug 29, 2024 #23 matunduizi said: Ndio. Wangetumiq akili zao vizuri na rasilimali zilizopo africa sisi ndio tulitakiwa kutawala wazungu sio wao kututawala. Click to expand... IQ 50
matunduizi said: Ndio. Wangetumiq akili zao vizuri na rasilimali zilizopo africa sisi ndio tulitakiwa kutawala wazungu sio wao kututawala. Click to expand... IQ 50
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Aug 29, 2024 Thread starter #24 Mi mi said: Una account mbili humu huyo huyo mmoja unajianzishia thread huyo huyo mmoja unajibu jibu mwenyewe. IQ 50 bila shaka. Click to expand... Hizo ni hisia zako, siwezi kuzijadili maana ni hisia za uongo. Karibu utoe maoni kwenye mada kama unahoja mkuu.
Mi mi said: Una account mbili humu huyo huyo mmoja unajianzishia thread huyo huyo mmoja unajibu jibu mwenyewe. IQ 50 bila shaka. Click to expand... Hizo ni hisia zako, siwezi kuzijadili maana ni hisia za uongo. Karibu utoe maoni kwenye mada kama unahoja mkuu.
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Aug 29, 2024 Thread starter #25 Mi mi said: IQ 50 Click to expand... Tunisia imeshawahi kutawala Ulaya, Cathage empire ilikuwa kidogo waipindue dola ya Rumi. Suala la mabibi zetu kuwa wazembe sio excuse ya kutafuta huruma mitandaoni.
Mi mi said: IQ 50 Click to expand... Tunisia imeshawahi kutawala Ulaya, Cathage empire ilikuwa kidogo waipindue dola ya Rumi. Suala la mabibi zetu kuwa wazembe sio excuse ya kutafuta huruma mitandaoni.
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Aug 29, 2024 #26 gTurn said: Urafiki wa kuua wasio na hatia huku wao wakipiga hesabu za kuishi milele shetani ndio alivyo kuwatamanisha watu na dunia basi Click to expand... Magaidi yalivyoua Oct 7 mwaka jana walipiga hesabu za kuishi milele?!
gTurn said: Urafiki wa kuua wasio na hatia huku wao wakipiga hesabu za kuishi milele shetani ndio alivyo kuwatamanisha watu na dunia basi Click to expand... Magaidi yalivyoua Oct 7 mwaka jana walipiga hesabu za kuishi milele?!
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Aug 29, 2024 Thread starter #27 Mzee Kigogo said: Magaidi yalivyoua Oct 7 mwaka jana walipiga hesabu za kuishi milele?! Click to expand... Jamaa anatumia jicho moja kujenga hoja.
Mzee Kigogo said: Magaidi yalivyoua Oct 7 mwaka jana walipiga hesabu za kuishi milele?! Click to expand... Jamaa anatumia jicho moja kujenga hoja.