US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

Bila shaka hawa jamaa walipotembelea Bongo kwa JK ku-promote AFRICOM walipewa Green-lights!

is it for real kwamba walipewa green lights, kuna mpango wowote kabambe unaoendelea? maana inaonyesha hii nchi imeshatushinda, je msaada wa kuitawala hii Tanzania unatakikana? huo msaada uje in form of ombi maalum au mission za undergroung kama hizi?
 
I think the question should be what is the motivation behind Prof. Njozi harsh criticism? Is it patriotism, is it the sense urgency and fairness in international politics? Is there anything that US could do to make him change his mind that would not involve the Middle East? Why does he want Tanzania to align itself with the Middle East and not South America or Far East?

Is there something between the lines that we need to understand. I think there is more to his sentiments than what meets the eyes!


why not ally with non of those country, i used o learn that Tanzania is non-allied country. May be he (Prof Njozi) knew of the AFRICOM mission but his analysis was blackened by this sort of proposed allies.
 
Mama, you're cooking something and it's sort of burning now...am gonna find out!!
 
Jamani nyinyi mnaishi dunia ya wapi?

AFRICOM ilikubaliwa na Liberia na Djibouti. And basically hizi ndizo nchi strategic.

Honestly, I dont see any problem with AFRICOM. Maana kama ni nchi imeshatushinda. Kwanza wamarekani wakija..hata vijana wetu watajipatia ajira za vibarua nk!

I suppose wengi humu wanapinga sana AFRICOM lakini ukiwauliza ni kwa nini? watakupa zile zile old stories za Iraq, Afghanistan na imperialism.........
 
Jamani nyinyi mnaishi dunia ya wapi?

AFRICOM ilikubaliwa na Liberia na Djibouti. And basically hizi ndizo nchi strategic.

Honestly, I dont see any problem with AFRICOM. Maana kama ni nchi imeshatushinda. Kwanza wamarekani wakija..hata vijana wetu watajipatia ajira za vibarua nk!

I suppose wengi humu wanapinga sana AFRICOM lakini ukiwauliza ni kwa nini? watakupa zile zile old stories za Iraq, Afghanistan na imperialism.........


Duh, tumekosa "deal" hivi hivi, maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto.

Hebu nisaidieni mwenzenu, ni heri nchi ikatawaliwa (hata kama ni ukoloni mamboleo) na wananchi wake wawe na maisha mazuri, au nchi kujitawala yenyewe na wananchi wake kuwa na maisha duni?
 
Lakini mada hiyo haihusu ufisadi mimi ni mchangiaji kama wachangiaji wengine kwahiyo sina interest yoyote , kwahiyo hata the citizen napo nina interest fulani ?
 
Bwagamoyo ingekuwa port nzuri kwa Africom, iko in a prime and startegic position hasa kwa kudhibiti mashariki ya kati, ya mbali na bara nzima la Asia kwa ujumla wake? May be Djibout could serve the purpose?whatever the purpose of African based millitary base
 
The main aim of AFRICOMis to enhance American security and foster African development
 
Mwanzoni mwa mwezi Januari 2009, nikiwa safarini kutoka Djibouti kupitia Ethiopia kwenda Great Britain nilikutana na "agent" mmoja wa shirika ambalo siwezi kutaja jina lake, akanieleza kuwa Marekani iko katika hatua za mwisho kukamilisha taratibu za kutaka kujenga kambi ya jeshi la majini [strategic naval base] katika eneo kuizunguka Kigamboni.

Baada ya kufika huku ughaibuni ndipo nikasikia Bw John Chiligati ametoa kauli bungeni kuhusu ardhi yetu ya Kigamboni.Tatizo ni kwamba "mwekezaji" anayetaka kuihodhi ardhi hiyo amekuwa akieleza kuwa na mpango wa kuendeleza mradi as vague as 'Kigamboni City'.Chiligati aulizwe kuhusu habari hizi, msikie atasema nini.

Mpango huo unaelezewa kuhamisha "raia" katika radius ya kilometa kumi plus, kuwezesha ujenzi wa kambi itakayokuwa extension ya United States Africa Command ambayo inazidi kupewa uzito kule Djibouti.Watafanya dredging kuongeza kina kuhimilia mikiki ya "ndonga za kivita" kama aircraft carriers na submarines.Vile vile kutakuwa na airstip kwa ajili ya midege yao mizito kama B-52.

Kisa na Mkasa

Sababu ya wanyamwezi kukita mizizi ya ubepari wao katika majabali ya Tanzania ni kwamba wanataka kuiziba China isipate kujijenga Afrika Mashariki na vile vile Afrika Kusini ambayo pia imekuwa ikiwania sana pande hiyo ya Afrika.

Naomba nisisitize kuwa sina ushahidi kuthibitisha concern hiyo, lakini viongozi wetu wanajulikana kwa ulaghai na uhujumu.Something fishy is going on behind the scenes, only time will tell.Hakuna anayejitokeza kulizungumza head-on.Wote wanapiga porojo tu, at our expense.

Consipiracy Theory​

Itakumbukwa kuwa rais mstaafu wa Marekani, George W Bush, alifanya ziara "unique" nchini kwetu Februari 2008, pasipo maelezo ya kina ni kitu gani kilimfanya awe mgeni wetu kwa siku nne!

Inadhaniwa katika ziara hiyo aliamua kufika mwenyewe na makubaliano yote yafanyike katika adhi ya Tanzania, kuepusha zengwe kama la Karamagi kusaini mkataba famba hotelini jijini London.Alikamilisha mambo mengi, tuliyoambiwa ni asilimia 20 tu - mengine ni CLASSIFIED.

Je visa vya maharamia katika pwani ya Afrika Mashariki ni njama au hali halisi ya maisha ya wasomali waliokata tamaa?Tutasema nini tukiambiwa meli haziwezi tena kupita pwani ya Somalia?Je wakituambia wanataka kutusaidia tutakataa?Itakuwaje tukatae wakati bei ya mafuta itakuwa imefika shilingi 3000 kwa lita? Ah!! waache waje watukomboe bwana, japo wachache baadhi yetu tutapinga - majority ya wana JF watasema hapana, hatutaki.Lakini walioshika mpini watakuwa na maono sawa?

Mikakati​

Tayari Marekani imeongeza presence yake katika nyanja mbali mbali kwetu Tanzania.Hivi karibuni wamekata mshipa wa soni kwa kuanza kusaidia kambi ya jeshi la JWTZ pale Kigamboni.

Paradox?Sijui....kinachosubiriwa ni uchaguzi mkuu wa 2010, baada ya hapo tutaanza kuuziwa longo longo kwamba hali ya usalama ni mbaya na tunahitaji uwepo wa Marekani kusaidia kujenga ngome ya ulinzi.Tutasema nini watanzania sisi, wakati haya tuliyonayo mezani ya EPA, Richmond, na kashfa za migodi madini yetu yametushinda?Ni wazi kuwa kama wamekusudia watafanikisha lengo lao, tukilazia damu.

Anyway, ningependa kueleza mengi zaidi, lakini nasita.Lakini kama tukiwa hai, mengi yatajitokeza very soon.
 
Yaani tutawachanganya vichaa wawili ,Muirani na Mmarekani ?
 
Back
Top Bottom