US Navy Operation red wing

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wenzetu wanaandika na kutunza habari za wote waliopewa medal of honor. It is so fascinating....there are ordinary people in some circumstances display extraordinary bravery by their actions.

Tumuunge mkono JPM[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Daah lone survival noma yani Yale mapango na jinsi walivyobingirita daah kama huna mazoezi lazima upaauke kichwa ndio maana wakaenda makomandoo
 
Nilipoanza kusoma nikaona nimechoka sitamaliza nilipomaliza kusoma nikaona imewahi kuisha
 
Niliisoma na nina kitabu chake mkuu....

Nawakumbuka sana akina Stealth,Alpha,Honey-Bee,Vampire,Cheetah na wengine mkuu...

Jamaa ni mkali sana kwa kutunga....
Vipi mkuu umesoma kitabu cha wimbo wa gaidi ndio kitabu chake kipya cha sasa hivi nacho kipo vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…