john issa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 856
- 1,638
Wewe sio great thinker, una mawazo ya kimaskini sana.Mwachie the bold ndo mbabe wa hizi kitu. Sio lazima wote tuandike. Unaharibu ladha ya mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio great thinker, una mawazo ya kimaskini sana.Mwachie the bold ndo mbabe wa hizi kitu. Sio lazima wote tuandike. Unaharibu ladha ya mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Salute kwake[emoji8][emoji8][emoji8].
hii lone survivor niliiona sijui mwaka juzi.
si ameigiza yule kaka alo-act titanic
waarabu wabaya sana kuna mtu alienda kuchinjwa kwenye gogo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]kama kuku......
s/o kwa wanajeshi wote!!!! salute ziende kwenu[emoji8][emoji8][emoji8]wanaume wa Kweli.
next week naenda kumuomba Co mwanajeshi mmoja anioe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12] siwezi kuolewa na kilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka kwa sauti kweli kweli![emoji23][emoji23][emoji23]
kwann[emoji23]Nimecheka kwa sauti kweli kweli!
usijekuta unakuja kuniomba mimikwann[emoji23]
nichagulie Mp mmoja[emoji23][emoji23]usijekuta unakuja kuniomba mimi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ewaaaaaanichagulie Mp mmoja[emoji23][emoji23]
ila nna ndoto za kuolewa na General[emoji24][emoji24]Ewaaaaaa
Ma general ni wengi, kuna mwingine anaitwa general manager [emoji23] [emoji23] [emoji23]ila nna ndoto za kuolewa na General[emoji24][emoji24]
nataka MEJA JENERALIMa general ni wengi, kuna mwingine anaitwa general manager [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]nataka MEJA JENERALI
Vipi mkuu umesoma kitabu cha wimbo wa gaidi ndio kitabu chake kipya cha sasa hivi nacho kipo vizuri sanaNiliisoma na nina kitabu chake mkuu....
Nawakumbuka sana akina Stealth,Alpha,Honey-Bee,Vampire,Cheetah na wengine mkuu...
Jamaa ni mkali sana kwa kutunga....