US-Politics: Biden asema Mungu amemruhusu aendelee na mbio za kuwania tena kiti cha uraisi

US-Politics: Biden asema Mungu amemruhusu aendelee na mbio za kuwania tena kiti cha uraisi

Hana jipya mzee nashangaa anapata wapi nguvu ya kumtaja Mungu wakati amemwaga sana damu za watoto mjini Gaza akishirikiana na Netanyahu
Usisahau kwamba, hata wale magaidi wanapoua wahanga wao waga wanasema Allah Akhbar.
 
Usisahau kwamba, hata wale magaidi wanapoua wahanga wao waga wanasema Allah Akhbar.
Mimi namshangaa huyu Biden, mikono yake imejaa damu

Kutoka 20:7 BHN

Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya
 
Kumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu;

"Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe, ondoka kwenye mbio za uchaguzi ningetoka kwenye mbio hizi za uchaguzi. Lakini Bwana Mwenyezi hajashuka kuniambia."
-Joe Biden​
Akae hadi vita viishe Palestine maana yeye ndio anaiongoza hiyo vita
 
Hakuna kipindi USA iliporomoka kiuchumi kama kipindi cha Trump kwasababu ya trade war na China.
Nenda kafuatilie mzee labda umejisahaulisha.
Uko sahihi

Trump hakuna cha maana alichofanya kwenye uchumi wa Marekani
 
Mungu ndio anajua zaidi ila Biden kuna wasi wasi anaenda kufia madarakani
Ila madaraka matamu sana acheni maskhara
Ila haka kababu kangekua kaafrika ungewasikia wajuaji wa kiafrika na maneno yao
 
Hana jipya mzee nashangaa anapata wapi nguvu ya kumtaja Mungu wakati amemwaga sana damu za watoto mjini Gaza akishirikiana na Netanyahu
Ungemlaumu kuruhusu LGBTQ
Ungekuwa sahihi
Ila Hamas walichokoza nyuki wenye hasira hakuna namna
 
Hana jipya mzee nashangaa anapata wapi nguvu ya kumtaja Mungu wakati amemwaga sana damu za watoto mjini Gaza akishirikiana na Netanyahu
Hamasi walisifiwa sana baada ya uvamizi wa oktoba 7 Leo imekuwa Israel tena. Let them eat brothers.
 
Back
Top Bottom