Uchaguzi 2020 US Senate on Tanzania: We are concerned by Magufuli’s use of increasingly repressive measures against opposition, CSOs and the Press

Uchaguzi 2020 US Senate on Tanzania: We are concerned by Magufuli’s use of increasingly repressive measures against opposition, CSOs and the Press

Toka waanze kuandika vipeperushi kwenye korona hawajachoka tu

Nimeangalia Huyu Menendez hajaoa! Kwanini? Au ndio ile jamii pendwa pale Chadema.
 
Magufuli akishinda ajiandae na vikwazo visivyoelezeka vya kiuchumi na kufunguliwa uchunguzi rasmi utakaoishia kwa yeye na watu wake wa karibu kutolewa arrest warrant na ICC.
Hizi nyakati nyingine, wangepelekwa ICC kina kagame, museveni. Hila hayo mataifa yanalinda maslahi yao tuu hawana mpango na demokrasia yetu, na hata hiyo ICC inawalinda wao pia ndio maana mataifa mengine yamejitoa, USA haziwezi kuharibu uhusiano na Tanzania, halafu hiyo nafasi itumiwe na china.
 
Kwani kagame kawatukana kwa kuwaita mabeberu???
Zama gani unaziongelea??? Unajua Omar Al Bashir yuko wapi saivi???
 
Wajinga watapuuza wakijidanganya wao ni zaidi ya wazungu, endeleeni na ujinga wenu muone utakavyowa cost.

Mnalazimisha kuiba kura hata pasipowezekana, sijawahi kuona mwizi anaiba tu hata kama anaemuibia ameshamuona, hii Tume ya vilaza ni aibu kwa hili taifa.
Endeleeni kuabudu hao wazungu na kichapo bado mtachezea
 
Marekani anyamaze tusije tukaipiga Washngton ndani ya dk 20, tutatuma majeshi yetu yaisambaratishe USA na kuwanyima misaada ya mahindi na Korosho.
 
Back
Top Bottom