Uchaguzi 2020 US Senate on Tanzania: We are concerned by Magufuli’s use of increasingly repressive measures against opposition, CSOs and the Press

Uchaguzi 2020 US Senate on Tanzania: We are concerned by Magufuli’s use of increasingly repressive measures against opposition, CSOs and the Press

Acha arguments za kijinga. Wapi nimesema hivyo? Kutaka haki itendeke Tanzania haina uhusiano wowote na Marekani. Vitabu vya dini vinapoongelea haki huwa vinaihusisha na Maremani. Acha upumbvu.
Sasa kama we mtanzania kwann unahitaji mmarekani akuangalizie uchaguzi wako, kwann usisimamie uchaguzi wako mwenyewe? Na sasa upo hapa unashabikia nini?
 
Mikwara mbuzi hiyo, Seneta mwenyewe kwanza siyo Republican ni Democrat na siajabu harudi mjengoni, ...
Akiki zenu zimelala!US sera zao za mambo ya nje huwa hazibadiliki!Unataka hela zao basi utatimiza hayo wanayokuambia regardless nani yuko madarakani!Hii ndio tafsiri ya mifumo kuwa imara!Sio kama hapa bongo,kila kitu ni jiwe tu!
 
Mna waste time tuu na haya matamko, hayana maana yoyote, ccm itashinda na magufuli ndio rais wa awamu ijayo.
Ikishinda basi ishinde kwa haki sio figisu na vyombo vya dola!
Nawaambieni,mkifanya figisu basi mnatafuta machafuko!
 
Toka waanze kuandika vipeperushi kwenye korona hawajachoka tu


Nimeangalia Huyu Menendez hajaoa! Kwanini ? Au ndio ile jamii pendwa pale Chadema
Umemtamani beberu mpaka ufuatilie kama ameoa au la?Halafu wao hata jinsia moja wanaowana so hoja yako haina mashiko Punguani wahed!
 
Huyu Seneta angemaliza matatizo ya Rais Donald Trump na Joe Biden katika uchaguzi mkuu wa huko Marekani kabla ya kuingilia masuala ya uchaguzi wa Tanzania
 
US won't do anything about Tanzania's democratic choices. They just want to put their puppet the way they had done in Iraq after toppling Saddam Hussein.
Jamani,tunataka uchaguzi huru na wa haki!Kama Wamarekani nao wanataka kitu hicho hicho basi naungana nao dhidi ya wale ambao hawataki hilo!
 
Sijui anachokifanya bwana Trump katika nchi yao hawakioni.
Unapambana kutoa taka kwa Jirani wakati Nyumba yako inateketea kwa moto!


.....China.
Kwani kama ccm inakubalika nini tatizo kwanini kutumia mbinu za wizi na haramu. Acheni uwanja sawa uamue.
 
Sasa kama wao wana kila kitu wanataka nini africa, si wangeiacha tuu wakaendelea kufanya yao? Fanya research kabla ya kuongea.
Principle ipo hv-Mjinga hutawaliwa na mwenye akili-CCM Bado Ina mentality za kijinga kiasi kwamba wamebaki kusifia v8
 
Principle ipo hv-Mjinga hutawaliwa na mwenye akili-CCM Bado Ina mentality za kijinga kiasi kwamba wamebaki kusifia v8
Basi hata hizo V8 wanazo?? Hawa hawa wanaoamkia Makande?? Ukiwaona huwezi jua kama ni hawa wanajifaragua.
 
Hawa wamarekani hela zao tunazitaka lakini hayo mambo yao ya kuingilia uchaguzi wetu hatuyataki, wakiendeleza ubishi tutaigeuza New York iwe vumbi ndani ya dakika sifuri
Unazungumzia vumbi lipi? Hilo chini ya Kitanda chako?
 
Hili tamko limemtarget jiwe moja kwa moja jamani uchagzi huu umekuwa na matamko mengine yasiyo ya kawaida wahusika tumieni akili vizuri mvuke salama kwenye uchaguzi huu,marekani ikishaanza kulalamika kusumbuliwa kwa makampuni yake ya biashara yaaani hapo inabidi mjiangalie sana
 
Back
Top Bottom