Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Mkuu unaishi dunia gani?Rasilimali zipi ambazo ziko Tz ambazo wazungu hawana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaishi dunia gani?Rasilimali zipi ambazo ziko Tz ambazo wazungu hawana
Watz ndiyo waamuzi siyo hao mabwana zenu!
Mkuu unaishi dunia gani?
Zunguka duniani sio mnakariri,Mkuu unaishi dunia gani?
Weeewe...utapigwa missile hata huko Chatu minofu isambae juu ya batiWatz ndiyo waamuzi siyo hao mabwana zenu!
Sasa kama wao wana kila kitu wanataka nini africa, si wangeiacha tuu wakaendelea kufanya yao? Fanya research kabla ya kuongea.Zunguka duniani sio mnakariri,
Hao unaowashabikia jua kwamba hawana urafiki, washafanya hayo mambo sehemu nyingi kama unadhani US wana mapenzi sana na wewe unajidanganya.Ungekuwa na rasilimali (akili) ungekuwa masikni baada ya miaka 60 baada ya uhuru?
Hao unaowashabikia jua kwamba hawana urafiki, washafanya hayo mambo sehemu nyingi kama unadhani US wana mapenzi sana na wewe unajidanganya.
Hacha jazba, tulia, taratibu, kura za US ulishwahi kwenda kuzishuhudia ukajua kama zinaheshimiwa au vp?Akili yako mbovu. Umeambiwa kuna mtu anamshabikia mtu hapa? Watanzania sisi wenyewe tunataka kura zetu ziheshimiwe. Hakuna ushabiki wala mama yake ushabiki.
Sijui anachokifanya bwana Trump katika nchi yao hawakioni.
Unapambana kutoa taka kwa Jirani wakati Nyumba yako inateketea kwa moto!
.....China.
Raslimali zako ni zipi hizo??!Mabeberu hawana maana zaidi ya kutamani rasilimali zetu.
Hacha jazba, tulia, taratibu, kura za US ulishwahi kwenda kuzishuhudia ukajua kama zinaheshimiwa au vp?
Nimeangalia Huyu Menendez hajaoa Kwanini ?
Mungu wabariki WazunguSince President John Magufuli’s election in 2015, Tanzanians have witnessed significant erosions of political rights.
Sasa kama we mtanzania kwann unahitaji mmarekani akuangalizie uchaguzi wako, kwann usisimamie uchaguzi wako mwenyewe? Na sasa upo hapa unashabikia nini?Mimi ni Mtanzania naongelea kura za Tanzania yangu. Wewe kama ni Mmarekani nenda kaangalie hizo za Marekani. Mbona mashabiki wa CCM mna arguments za kijinga hivi. CCM inafaidika na ujinga. Sasa kama uchaguzi wa US una matatizo wewe unataka wa Tanzania nao uwe hivyo. Kweli hapo ndipo akili yako inapoishia? Argument ya kipumbvu.