US anawapa joto CCM hawajawah ona tangu nyakati za nyerere;na Hii next week haiwaachi CCM salama,balozi wa marekani Yupo consistent na anachokisema tokea mwanzo na habadilishi maneno-Akimaanisha Yupo serious kwa vitendo;tokea amekuja august baada ya senators Kuihimiza serikali yao imlete balozi wa kudumu tanzania kushughulikia uvunjwaji wa demokrasia hapo ndipo nilianza kuusoma mchezo kwamba US government mean business this time na ndo tunashuhudia.Mahera kashaufyata yale matamko ya kuropoka ropoka kaacha. Bado anamtumikia bwana wake kwa vitendo