Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabalozi hawawezi kaa nchi zenye watu wahuni huni tu.Kumbuka sisi sio kisiwa ni sehemu ya dunia.Huyo senator huwa anachuki binafsi nadhani maana haachi kuleta pua yake hapa kila mara.
Hatuhitaji chochote toka kwake aendelee na mambo ya kwao marekani ya kwetu atuache nayo.
Mabeberu hawana maana zaidi ya kutamani rasilimali zetu.
We bata, mbona umepokea hela jana toka kwa mabeberu wa Uswis???Mabeberu hawana maana zaidi ya kutamani rasilimali zetu.
Kwa nini tunaweweseka tukisikiaThey have no moral authority on this matter!! What have they done to Saud Arabia, to their own people especially Latinos, Asians and African Americans!! Abusive of human rights of these groups of American citizens in most cases is part and parcels to them!
I urge Mr. Medenzes to restrain from actions, which do not serve the credibility of US to be a country leading some global matters by example!!
Daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa wamarekani hela zao tunazitaka lakini hayo mambo yao ya kuingilia uchaguzi wetu hatuyataki, wakiendeleza ubishi tutaigeuza New York iwe vumbi ndani ya dakika sifuri
Mapovu ya nini, mi nikiwa bata wewe utakuwa nini vile?We bata, mbona umepokea hela jana toka kwa mabeberu wa Uswis???
Hamna akili kabisa!!
They have no moral authority on this matter!! What have they done to Saud Arabia, to their own people especially Latinos, Asians and African Americans!! Abusive of human rights of these groups of American citizens in most cases is part and parcels to them!
I urge Mr. Medenzes to restrain from actions, which do not serve the credibility of US to be a country leading some global matters by example!!
This quote is a very good example indicating someone who can not control him/herself even if he/she is absolutely unable to create a simple and effective argument for the public consumption!!!must you expose your stupidity?
Wait and see!! USA really means business this year. They ain’t playing with fools
Nenda akakuoe si unatafuta bwanaToka waanze kuandika vipeperushi kwenye korona hawajachoka tu
Nimeangalia Huyu Menendez hajaoa! Kwanini? Au ndio ile jamii pendwa pale Chadema.
USA 🇺🇸 wanajua nchi hii inamadini na gesi nyingi sana...... Sasa sisi Tunawaomba kama vile Libya walivyowaomba...Tuongee baada ya 28 October. US kamwe hawawezi kuwa wakombozi wako. Tutajikomboa wenyewe. Mnaofikiri ukombozi wa kweli utaletwa na ndege ya kukodi, mnajihangaisha
Magu apingwe kwa ukatili wake na ufisadi mkubwa tangu 2015.Menendez Introduces Resolution Calling on Government of Tanzania To Ensure Free and Fair Elections
Washington, DC — U.S. Senator Bob Menendez (D-N.J.), Ranking Member of the Senate Foreign Relations Committee, today introduced a Senate resolution calling on the Government of Tanzania and all parties to ensure free and fair elections ahead of the country’s October 2020 electoral cycle. Since President John Magufuli’s election in 2015, Tanzanians have witnessed significant erosions of political rights.
“The upcoming elections in Tanzania represent an opportunity for the Government and people of Tanzania to recommit themselves to democratic politics and the rights guaranteed in their constitution,” Menendez said. “I am concerned, however, by the deteriorating political conditions in the country and the Magufuli administration’s use of increasingly repressive measures against political opposition, civil society, and the press. Tanzanian authorities must ensure that the October polls meet accepted standards for free and fair elections, and the United States must support the Tanzanian people at this critical juncture. I urge my colleagues to endorse this common sense resolution and remain engaged on the issue of democratic backsliding in Tanzania.”
In recent months, Tanzanian authorities have deployed an escalating array of arbitrary and partisan legal actions against political opposition and the media that could further undermine the credibility of the October elections. The Senator’s resolution urges the United States Government, working alongside international partners, to remain engaged in promoting and defending the rights of the Tanzanian people.
A copy of the Senator’s resolution can be found HERE.
View attachment 1609912
View attachment 1609911
View attachment 1609913
View attachment 1609914
View attachment 1609915
View attachment 1609916
View attachment 1609917
Point, unajifanya Una rasilimali halafu bakuli Iko mbele kila siku Hadi matundu ya vyoo ' Kwa hisani ya watu WA Marekani'.Ungekuwa na rasilimali (akili) ungekuwa masikni baada ya miaka 60 baada ya uhuru?