US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

Ikifika kwenye ardhi yangu ni mali yangu, wewe kama umechukia Tanzania kuwa neutral baki na misaada yako kwenu
Inajileta tu au wewe mwenyewe umeiomba na ukaisign [emoji2][emoji2]
 
Hii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yako
we ulitaka aiandike angola kwan angola wanalijua hili bandiko?
 
"You're either with us or you are against us" - George Bush.

Hapo shetani mkubwa ndipo anaonesha ushetani wake, dhahiri shahiri.
unataka upewe hutak kutoa , huo si ushetan ule kodi za watu bila malipo?
 
hujui hata maana ya kuwa neutral ( non allied ) , hatuez mpongeza Urus akishinda au Ukraine since hatuna upande
 
US au Taifa lingine lolote haliwezi tuchagulia rafiki... sera zetu kimataifa zipo wazi...
sera zipo wazi ila bajeti ya taifa haipo wazi , mkirekebisha hapo mje mseme tena sera zetu zipo waz
 
Wafute kabisa wasenge hao yani huu ni utumwa mamboleo mtu ushindwe kuwa na maamuzi kwa kuogopa msaada. Pumbavu sana
 
Jeuri gani unataka tena tumeamua kuwa neutral kama nchi hii ni jeuri tosha, kama US anaona tumekosea hiyo misaada yake akawape wananchi wake, maana hata US masikini wapo
Maskini kamwe hajawahi kuwa na jeuri.
 
unataka upewe hutak kutoa , huo si ushetan ule kodi za watu bila malipo?
Ndiyo maana Kikwete alisema "kula uliwe". Bwana yule akaona wenzake wajinga. Akaminywa kiduuchu, mwenyewe akaachia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…