4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hahahaaaaHivi ikitokea kafungiwa kabisa asikanyage Amerika na vile anavyopenda safari sijui itakuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaHivi ikitokea kafungiwa kabisa asikanyage Amerika na vile anavyopenda safari sijui itakuaje?
Kitu gan hicho kilicholetwa kwenye ardhi yako?!Sasa kitu kimeletwa kwenye ardhi yangu niache? nachukua wewe uliekasirika Tanzania kuwa neutral acha kutupa misaada yako
ukituliza akili na ukaangalia ulichopost na dhamira yako basi utagundua ww ni chizi , kisa USA iliwai kuivamia nchi fulani bas ni ruksa nchi nyingine kuvamia taifa dhaifu[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2179755
Inajileta tu au wewe mwenyewe umeiomba na ukaisign [emoji2][emoji2]Ikifika kwenye ardhi yangu ni mali yangu, wewe kama umechukia Tanzania kuwa neutral baki na misaada yako kwenu
ukiangalia ulichopost kwa utulivu ndo utaona ulivyo chiz , kisa USA alivamia sehemu fulani bas inakuwa ruksa mataifa yote kuvamia mataifa dhaifu , mkiambiwa mnaiabudu USA mnakataaaNasema baaaado.View attachment 2179756
we ulitaka aiandike angola kwan angola wanalijua hili bandiko?Hii account kumbe yako we jamaa..hivi huwa mnalipwa na serikali ya ukraine??...Ni Tanzania pekee ndiye aliyekuwa against mpaka atajwe yeye kwenye hii tweet??!..napata mashaka hii ni account yako
Russia kavunja democracyEti ndio Democracy[emoji23][emoji23]
rais akijiheshim ataheshimiwa , ila mama etu anakosea kupita kias , hana mising yake ni kama anaendeshwa na upepoTujaribu kuwa na heshima kwa raisi,
unataka upewe hutak kutoa , huo si ushetan ule kodi za watu bila malipo?"You're either with us or you are against us" - George Bush.
Hapo shetani mkubwa ndipo anaonesha ushetani wake, dhahiri shahiri.
hujui hata maana ya kuwa neutral ( non allied ) , hatuez mpongeza Urus akishinda au Ukraine since hatuna upandemwenye twitter a/c ndiye aliyefungua uzi jf, atafanyaje apate attention bila kuitaja Tanzania? kimsingi ina fahamika TZ haifungamani na upande wowowte ndio sera yetu.
Wakina kiduku na wengine walipiga kura ya wazi kukataa udhalimu, sisi na wengine kama china hatukuchagua upande maana wote rafiki zetu... urusi akishinda tutamwambia hongera na ukraine pole ndio sera yetu hatubagui...
hao wabaguzi msaada wenye masharti wabaki nao kama kibaraka wao aliyefungua uzi...
sera zipo wazi ila bajeti ya taifa haipo wazi , mkirekebisha hapo mje mseme tena sera zetu zipo wazUS au Taifa lingine lolote haliwezi tuchagulia rafiki... sera zetu kimataifa zipo wazi...
mmelishwa matango mmeshiba ndo mnakumbuka kusema iende Somalia wakat hiyo misaada imekusomeshaUS ni ma mbwa tu hiyo misaada si wapeleke Somalia au Kenya kwenye njaa
Maskini kamwe hajawahi kuwa na jeuri.Jeuri gani unataka tena tumeamua kuwa neutral kama nchi hii ni jeuri tosha, kama US anaona tumekosea hiyo misaada yake akawape wananchi wake, maana hata US masikini wapo
Ndiyo maana Kikwete alisema "kula uliwe". Bwana yule akaona wenzake wajinga. Akaminywa kiduuchu, mwenyewe akaachia.unataka upewe hutak kutoa , huo si ushetan ule kodi za watu bila malipo?
Haya maneno tu lakini jeuri ipo kama ulivyoona UNMaskini kamwe hajawahi kuwa na jeuri.
Kwani ukiombwa lazima ukubali? wakatae sasa tumewakera na wafute misaada yote sio 40% pekeeInajileta tu au wewe mwenyewe umeiomba na ukaisign [emoji2][emoji2]
Misaaada kama hawaleta hapa Tanzania wapeleke Burundi , ikifika Tanzania ni mali yetuKitu gan hicho kilicholetwa kwenye ardhi yako?!
Burundi pia ni ombaomba mwenzio, naye pia hupokea msaada.Misaaada kama hawaleta hapa Tanzania wapeleke Burundi , ikifika Tanzania ni mali yetu