USA Inaondosha wanafunzi ambao ni wanaharakati hili ni somo kwa nchi zetu!

Ndio ndio calculator inaendelea
 
Hakuna Taifa duniani linaweza kuwa kichaka cha kizazi cha wanaharakati lialia wanaotukana serikali au kuchukua misimamo na mirengo hatari kwa usalama.

Hii ndio demokrasia.
NANI
 
lkn tanzagiza ya sasa siyo Trumper ni mrengo wa sleepy joe, acheni kutaka kujinafikisha na kujipendekeza pale mnapoona mnanufaika, D.Trump na republican ni Christian Conservative, ccm ya sasa ni liberal communist, D.Trump anaitetea na kuijenga USA ndiyo maana anaweka tarrifs, tanzagiza inauza na kumilikisha rasilimali kwa foreigners iweje leo mjifanye eti mnaendana na D.Trump ?
 
USA inatambua haki za mashoga na lenyewe ni somo ?
 
Rudi kwenye msingi wa hoja.
Hapa tunajionea maana ya demokrasia kutoka kwa baba wa demokrasia.usitake kuukimbia ukweli huu
 
Rudi kwenye msingi wa hoja.
Hapa tunajionea maana ya demokrasia kutoka kwa baba wa demokrasia.usitake kuukimbia ukweli huu

yes, lkn usiishiea hapo tu, tanzagiza bandari imepewa foreigners ( bandari ni national security ya nchi yoyote ile), misitu imewekwa rehani kupitia carbon credit system wananchi hawaruhusiwi kuitumia fedha inaenda nje, brt iko sokoni, hata sgr ingawaje inajengwa kwa fedha zetu inaenda kugawiwa foreigners , tanesco kapewa muhindi mbona huko kote haulinganishi? unafanya cherry picking pale unapoona mnanufaika mnasifia USA btw zile semina za raisi kikwete ambazo hufanya harvard university na kurushia picha kila mahali ndiyo basi tena D.Trump kapiga pini pia …
 
Anayekuaminisha kuwa bandari kapewa mwarabu jiulize ana maslahi ganj nyuma yake?
 
Sasa na tz hatuwezi kuwaruhusu wa kenya na Uganda kutuvuruga kama wanaona uruma waende kongo,sudani tz hatu hitaji msaada yakituke tutandamana wenye sio hao kutuamia chakufanya

ndiyo wameshaingia sasa, btw umesahau misele mliokuwa mnaipiga kenya kabla ya mapinduzi leo hii kenya na wanaharakati wamekuwa wabaya? …
 
Wana harakati walioshindwa kufanya harakati nchini mwao kwa mambo yanayo wahusu wao na nchi zao then wanakwenda kufanyia harakati hizo nchini Marekani, hakika hili halikubaliki; waarabu wameshindwa kuandamana nchi kwao, wanataka waka andamane USA kwa issues za nchini kwao waliko kimbia au kwasababu ya Israel na Palestina? Nchi yeyote ilio serious haiwezi kuruhusu hilo; USA haizuii waandamani, raia wao kuandamana kwasababu ya mambo yao wenyewe. Hadi police watawalinda waandamanaji
 
ndiyo wameshaingia sasa, btw umesahau misele mliokuwa mnaipiga kenya kabla ya mapinduzi leo hii kenya na wanaharakati wamekuwa wabaya? …
Mbona hii imekaa kiulaghai zaidi?
 
Kama nchi aman na utulivu ni ngao kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…