USA Inaondosha wanafunzi ambao ni wanaharakati hili ni somo kwa nchi zetu!

USA Inaondosha wanafunzi ambao ni wanaharakati hili ni somo kwa nchi zetu!

Hakuna Taifa duniani linaweza kuwa kichaka cha kizazi cha wanaharakati lialia wanaotukana serikali au kuchukua misimamo na mirengo hatari kwa usalama.

Hii ndio demokrasia.
Unachanganya mafaili , wale wanapigania maslai ya nchi zao ndan ya USA ila huku wamekuja kusikiliza kesi na sio kuleta fujo , ccmu wanatumia kila njia kuhararishe ugaidi wao
 
Back
Top Bottom