USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

Unaijua vita ya Somalia na Afghanistan? Unafikiri hao jamaa wanapigana makombora? Hao watu hata Russia na Marekani wakiungana hawashindi, hapo unapigana na imani tena na viumbe havina hata silaha ila silaha yao ni imani zao tu.
 
Hahaha mikwara tena..

Mi nilidhani washapeleka jeshi Ukraine kumbe maneno ya kwenye khanga..
Wako jirani hapo mkuu wanachungulia tu.
Hata hiyo NATO hawaruhusu kuja kule ndani.ila wapo hapo ni kupewa tiki tu.
Vita ikipita huko mpakani wakifika main city wanaenda Finland.
Balaa litaanzia hapo
 
Umechanganya Utumbo na mchicha. Ni mboga gani iyo?
 
Hiroshima
Vp
 
Marekani na washirika wake maama America ata akitaka kupigana na Tanzania ataomba support wa NATO.

Sent using Jamii Forums mobile app
anaombaje support unajua maana ya NATO? Unajua fees ambao anatoa. Kamuulize trump alivyokuta ma billion ya dola amerika inayochangia. Mpaka kutaka kujitoa au nchi wanachama waongeze michango.

Nato ni kibubu cha marekan anadunduliza hela kwa ajili ya ulinzi.
 
hujui historia fuatilia acha pupa , hujui china imewai kupigana na USA , vipo vita vingi huvijui kwa vile unasubir tbc ikutangazie
 
Kunazidi kucha
 
akili za mswahili hazijawai kuwa timamu , wenzio hujipa muda wa kufanya mambo , tulia ipo siku utaanza kumlaumu mzungu
 
Unaijua vita ya Somalia na Afghanistan? Unafikiri hao jamaa wanapigana makombora? Hao watu hata Russia na Marekani wakiungana hawashindi, hapo unapigana na imani tena na viumbe havina hata silaha ila silaha yao ni imani zao tu.
wazungu hawakulenga kushinda vita kwenye hayo maeneo bali walilenga kuacha machafuko ili nchi iwe busy kwenye machafuko pindi wanapoenda kuiba mali , jiulize hao Taliban walikuwa wanatoa wap silaha , maradhi na vyakula kwa kipind chote cha miaka 20 , so hao waliundwa tu kulinda maslai ya mabeberu na ndio maana serikali ya Afghanstan ilipoanza kumletea kibesi USA ndipo USA ikasema inaondoa majeshi yake na baada ya wiki Taliban wakaanza kushambulia , jiulize Taliban walikuwa wanaua hovyo ila hawakishambulia uwanja wa ndege ambao ulikuwa na wanajeshi wa marekani
 
Alichonifurahisha alipambana Afghanistan kwa miaka 20 kuwaondoa Taliban ili kuwaweka Taliban

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Latest version ya Taliban ni tofauti saana na ile ya mwanzo ya akina Mullar Omar, iliyokuwa inahifadhi na kufadhili magaidi Wakubwa akina Osama bin Laden.

Hawa wa sasa angalau walitubu, wakaongoka, wakakiri kubadilika, na wakaahidi kuwa kamwe hawatorudia dhambi ya kuruhusu ardhi yao kutumiwa tena kama hifadhi na maficho ya magaidi (terror haven), wala hawatafadhili magaidi kama mwanzo.

Kuna watu wanadhani Taliban walishinda ile vita. Lakini ukweli ni kuwa Taliban walikabidhiwa nchi yao kwa makubaliano maalum 'US - Taliban Agreement' yaliyosainiwa Doha, Qatar, baada ya majadiliano na makubaliano.

 
Kwa iyo unataka kusemaje!?
Kwamba somalia ina power kuliko marekani ndio maaana alipigwa vita ulivyoangalia kwenye movie ya black hawk down.

Aah aah aah jf ya sasa bhaaana.

Jifunze kuelewa nin maana ya vita, ushindi ni nini baada ya vita, lengo la vita ni nini, faida na hasara ya vita ni nini!?


Hivi kweli taifa lipigane na kikundi cha wahuni afu kikundi kishinde.
 
Kwa hiyo wamesubiri Ukraine imekwisha sambaratishwa ndo wamezinduka usingizini?
 
Kinachowapa jeur americans ni pesa... Anaweza pigana vita miaka 10 na bao uchumi wake ukasimama.. sasa wew unaepigana nae utaweza simama..?
Bajet ya jeshi la marekan kwa mwaka ni 800bil$ wakat rusia ni 90bil$ kwa mwaka
Vita ni uchumi na mwenye uchumi mkubwa ndiye Huwa mshindi wa vita ipo hivo tangu kuumbwa kwa Dunia ,mfano Babel na Rumi zilitawala Dunia kwa Sababu ya uchumi wao ulikuaga mkubwa,kwa hiyo Urusi hawezi shindana na Marekani kwa Sababu hiyo ya uchumi na anaebisha ni wa kumuonea huruma tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…