USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

US aliona haina faida akaamua kuongea nao awaachie nchi na ndio maana hata walipokuwa wakiingia US alijua ila akaona aondoke, angetaka kutooondoka angebakia na hakuna ambalo lingefanyika maana uwezo alikuwa nao wa kuwa annihiliet
 
Humu watu ni wajuaji kwa vitu ambavyo hawajui .Hii Dunia ni Mali ya Marekani na Israel tunatakiwa kujua hivo kwa Sababu wanafanya chochote wapendacho na haukuna mtu wa kuwazuia na pia Kumbukeni NATO ni Mali ya USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tajie hata mtaa alio uteka alio uteka acha mapovu.
Au nitajie vita ya ardhini ambayo Marekani ameshinda tofauti ya Iraq.
 
Unaijua vita ya Somalia na Afghanistan? Unafikiri hao jamaa wanapigana makombora? Hao watu hata Russia na Marekani wakiungana hawashindi, hapo unapigana na imani tena na viumbe havina hata silaha ila silaha yao ni imani zao tu.
Yeye si superpower ?anashindwaje sasa na wahuni?
 
Unajuwa anacho kisema anamanisha USA hawalali na wana jeshi hatari sana kiasi wanajiogopa. Uwezo wao wakingukilia ni hatari kiasi wanaweza kuifuta china na Russia ktk uso wa dunia kwa wakati mmoja this guy ni nyoko....
 
Humu watu ni wajuaji kwa vitu ambavyo hawajui .Hii Dunia ni Mali ya Marekani na Israel tunatakiwa kujua hivo kwa Sababu wanafanya chochote wapendacho na haukuna mtu wa kuwazuia na pia Kumbukeni NATO ni Mali ya USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hichi ulichoandika hapa hata USA atakukana. USA ni taifa kubwa lenye nguvu ila haliimiliki dunia. Yaheshimu mataifa mengine pia likiwemo taifa lako.
 
Acha maneno mengi Marekani na washirika wake walishindwa vita nchini Afghanistan hayo mengine ni porojo.
 
Vita vya Vietnam 1955-1975: north vietnam ilikuwa supported na soviet union na south vietnam walikuwa supported na US wakala kichapo cha mbwa koko then wakakimbia vita.
Vita vya kiraia Urussi 1918-1920: wakala kichapo wakakimbia vita.
Vita vya kiraia Laotian, CIA wanaita the secret war 1953-1975: USA wakala kichapo tena wakakimbia uwanja wa vita.
Bay of Pigs Invasion cuba 1961: USA walikuwa wanatoa msaada kwa siri na kuratibu kila kitu mpaka kutuma Brigade 2506, lakini wakepewa kipondo na kukimbia vita.
Multinational Force in Lebanon 1982–1984: USA na wenzake wakala tena kichapo na kuacha virago vitani.
Cambodian Civil War 1967–1975: USA katatindikwa tena.
First U.S. Intervention in the Somali Civil War 1992–1995: USA kapigwa tena.
Vita ndani ya Afghanistan au Taliban war 2001–2021: USA amehangaika kwa miaka 20 mfululizo na mwisho wa siku kama kawaida yake kakimbia vita.

Hizi ni vita vinavyoendela kwa miaka na hakuna dalili ya ushindi kwa USA tena wanaopigana nao ni magaidi ya kiarabu sasa sidhani kama wataweza moto wa Russia.
American intervention in Yemen 2002-mpaka leo bado wanahangaika.
Second U.S. Intervention in the Somali Civil War 2007-mpaka leo.
American-led intervention in Syria 2014–mpaka leo.

Marekani na mikwala yake ya hollywood movies na white supremacy propaganda, zaidi ya hapo ameshapoteza heshima yake hasa kwenye mgogoro huu wa Russia na Ukraine.
Na kamwe hawatojaribu kwenda direct kupambana na Russia kama wanavyofanya huko kwengine, papa amekutana na simba.
 
Kwa hiyo nyinyi mnapo sema Ukrain imeishinda Urusi ina maana Ukraine ina nguvu kuizidi Urusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…