USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

Kwa hiyo wale wadada na wamama wa mitaani wanaoshinda kwenye vigodoro wanapigana psychological war fare?
Kwa mantiki yako unamaanisha USA ni shangingi tu anayebweka bila vitendo.

Acha utani huwezi kumtisha Russia kwa maneno kama unaongea na burundi.
Shida Nini mkuu. Nilimaanisha Kwamba anachofanya Marekani Ni kutisha Russia kupitia Psychological warfare. Hii hufanywa ilimradi tu kuifanya nchi hasimu Inferior na hivyo kushindwa Vita moyoni na kiakili kabla Vita haijaanza.
Ila kiuhalisi Vita ya Us na Russia Kama itapiganwa direct itakuwa Ni yenye madhara makubwa
 
Kinachowapa jeur americans ni pesa... Anaweza pigana vita miaka 10 na bao uchumi wake ukasimama.. sasa wew unaepigana nae utaweza simama..?
Bajet ya jeshi la marekan kwa mwaka ni 800bil$ wakat rusia ni 90bil$ kwa mwaka
Budget ya Vietnam ilikua Ni kiasi gani?
 
Taliban uchumi/uwezo wao wa kifedha ukoje mkuu?
 
Hata Urusi lengo lake sio kuikalia Ukraine kwa sababu Uchumi wa taifa hilo hauna uwezo wa kuhimili hilo.

Lengo la Urusi ni Ukraine iwe dhahifu kijeshi na kiuchumi na ndio maana wanataka kuigawa maana Ukraine yenye nguvu kiuchumi na kijeshi ni hatari sana kwa Urusi na kwa hilo wanakaribia kufanikiwa.
 
Amewaonyaa kuwa...

Tunawaona Urusi China North Korea tuna wanyamazia tuu...
Wakidhani tunaogopa vita.
Vita tuna ijua...

Dadekiii vitaa hiyoo ya Tatu
Duh nimekumbuka mikwara ya KANYABOYA.
 
Ukraine yenye nguvu kijeshi ni hatari kwa Urusi kwanini? Urusi ina nguvu kijeshi, ni hatari kwa majirani zake? Ni sahihi nao wakitafuta namna ya kujilinda nae?
 
Alichonifurahisha alipambana Afghanistan kwa miaka 20 kuwaondoa Taliban ili kuwaweka Taliban

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Shida yetu ni kudhani tunayajua malengo yao ya vita kuliko wao wanaoenda vitani. Kuna vita haziwi kabisa na lengo la kushinda, bali kutimiza wanachotaka. Wakimaliza wanarudi makwao wanawaachia magofu
 
Unamwambia mwana aache mahaba na wewe unaweka mahaba.

Ni kweli Russia alisema atakaye ingilia directly. Hakusema indirectly ndo maana alisema siraha zote kutoka West zitakuwa legitimate target.

So kwa lugha rahisi ni kuwa Chochote kutoka West iwe troops or silaha zitakuwa ni legitimate targets but only if zikiwa ndani ya mipaka ya Ukraine.
 
Kinachowapa jeur americans ni pesa
Nguvu ya Pesa ya Marekani ipo kwenye kuitumia kuuza na kununua mafuta. Russia ni mmoja ya wauzaji wakubwa wa mafuta duniani, sasa ameamua kuuza mafuta yake kwa Ruble. Na nchi nyingine zimeanza kuiga utaratibu huo. Na tumeelezwa mwezi huu Russia kauza mafuta mengi kuliko kawaida. Hii maana yake pesa ya Marekani inazidi kupungua jeuri ya nguvu ama nguvu ya jeuri!! Kiasi ambacho, kikao cha leo huko Uholanzi lazima kitagusia jambo hili kwa uzito wake.
 
Aah aah bado haujajua maana ya vita.,msako, operetion, mikwara, washawasha n.k


Eti lebanon... Dah

Elimu ya darasani inavuruga saana vijana wetu.... Mtu anameza anakuja kutema kamaliza.

Na hapo ana uhakika kabisa anavimba
 
Vitisho hivi labda akamtishe mkewe, ila sio Urusi
 
Russia anafahamu madhara yanayoweza kumpata endapo atashambulia misafara inayopeleka silaha Ukraine toka kwa nchi wanachama wa Nato.

Ninasubiri kuona Russia atafanya nini wiki chache zijazo pale Finland na Sweden watakapopeleka maombi ya kujiunga na Nato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…