USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

Historical Russian are war mongers they born and raised in war, they participated in every big wars in the world and their presence had a positive outcomes unlike Americans who fought wars with minorities Russians fought with giants and won.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hivi huwa mnajiona nyie ndio mnasoma na kufuatilia taarifa za duniani peke yenu, si US walio zuia na kusema watamdhibiti mtu yeyote atakayeunda Silaha za nyuklia nini wamefanya kwa North Korea mpaka leo zaidi ya maneno na ng'ebe?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huwa ana shindwa lakini huwa anaacha uharibifu na mauaji makubwa.
Hata Urusi akishindwa Ukraine bado maafa aliyo yaacha Ukraine yatadumu kwa muda mrefu sana.
Kwamba wameeua maelfu ya raia, sidhani kama hata wenyewe wanaweza wakajisifia kwa hili.
 
Yaani arushe tu jiwe bila ya sababu
Hata kama uchizi huu utakua umezidi kama wanataka arushe hata jiwe warushe hata jani pale kwa KIDUKU
 
Afghanistan kapigwa na nani?... Punguzaga mahaba kuna mimba za uzeeni USA alienda Afghanistan kwa malengo yametimia wameondoka kuna sehemu yoyote USA ataikalia Afghanistan milele?
Walienda kwamalengo gani !!?
 
Siku 22 tu Baghdad ishatekwa na utawala wa Saddam ushaangushwa, Ukraine imeshasaidiwa na viongozi wa juu wa UK na US wamefika kyiv na kuahidi kumsaidia Zelensky.
 
Kabisaaa
 
Ujue hapo wametishika ndio maana. Wameona wamechunguliwa.
Hakuna Superpower aliyebaki milele. Ingekuwa hivyo basi Ottoman, Roman, Mongolia empires zingekuwepo hata leo.
 
Mbona hawakuipiga Pakistan hata baada ya kumkuta Usama kwao!?
Usiamini sana habari unazolishwa na vyombo vya habari vya mashoga

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
hakuna siku itaja tokea US VS RUSSIA wakapigana head on, haipo!
kwa sababu hapatakuwa na mshindi, na wao wanajua hilo.... ila ulaya itabaki vumbi!
 
Mbona hawakuipiga Pakistan hata baada ya kumkuta Usama kwao!?
Usiamini sana habari unazolishwa na vyombo vya habari vya mashoga

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Pakistan ndo walisaidia kuelekeza maficho ya Osama.
Tuwekee hapa habari zako za kweli basi..
And by the way, mashoga wapo kibao tu Zenji hapo na ukanda wa Pwani!
 
Aisee ndo maana marekani wanashindaga vita Hotuba ya Jamaa imejaa ushawishi hata Kama hamtaki Mtaenda si Kama warusi wanaolazimishwa

Hamna kitu hapo. Wangekuwa na jeuri kiasi hicho kusingekuwa na kina Kiduku aliyewalazimisha kwenda kumpigia magoti walipoona ameanza kujipanga.

Kusingekuwa na viongozi kama Maduro wanaosimama mpaka kesho dhidi yao. Kusingekuwa na serikali kama za Cuba waliojitetea na kusimama bila woga dhidi ya Marekani mpaka leo.

Kimsingi, nachojaribu kusema ni kwamba. Ni kweli huko nyuma Marekani alikuwa tishio, kiuchumi, kijasusi na kivita. Hii iliwapa mataifa mengi hasira kwasababu Marekani alitumia nafasi yake kuwanyanyasa wengine na sisi binadamu huwa tuna kitu ndani yetu, mtu akikunyanyasa inajengeka hasira ndani yetu ya kutaka kukomesha hiyo kadhia.

Hii ilipelekea mataifa mengi kuamua kuwekeza kwenye silaha hatari pamoja na vikwazo. Mataifa yaliamua kusema hakuna kutiwa vidole na Marekani eti kisa nguvu ya kijeshi.

Matokeo yake leo hii Marekani anaishia kubwaka tu kwa Urusi na matiaifa mengine. Ameshindwa kuiondoa Taleban, kumuondoa Maduro, kumuondoa Asaad na Kiduku ujue siyo rahisi tena.

Kadiri siku zinavyokwenda, wengi wanaanza kuelewa ukatili wa Marekani na unyanyasaji wake ni wa muda tu.

Mataifa yanafanya uchunguzi ya kila aina kupunguza ujinga wa Marekani duniani.

Binafsi natamani nguvu ya Marekani ipunguzwe tutakuwa na amani duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…