chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Stupid speech and; or address from an arrogant Cowboys .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndo la msingi ukisikia hizo kelele za mashoga ujue pameumana[emoji23][emoji23]...mtaandika vyote ila tunamega Ukraine taratibu.
Historical Russian are war mongers they born and raised in war, they participated in every big wars in the world and their presence had a positive outcomes unlike Americans who fought wars with minorities Russians fought with giants and won.Alisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani
Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu Amerika ni Nchi ya kuikimbia kwenye vita maana imeona vita, imecheza vita na unajua vita na haipendi vita.
Lakin ukipenda vita na Marekani andaa wa kulea watoto wako maana hutabaki salama! Vita siyo sehemu ya maonesho ya Bunduki kwa amerika bali ni vitendo.
View attachment 2200587
Hivi huwa mnajiona nyie ndio mnasoma na kufuatilia taarifa za duniani peke yenu, si US walio zuia na kusema watamdhibiti mtu yeyote atakayeunda Silaha za nyuklia nini wamefanya kwa North Korea mpaka leo zaidi ya maneno na ng'ebe?Kiduku aliambiwa kama unataka kuona moto ambao hujawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe basi arushe hata jiwe popote duniani kwenye maslahi ya USA aone.... Mpaka Leo Kiduku anaishiaga kurusha hewani kama maputo
Soma hapa[emoji116]
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Kwahiyo ulitaka awe upande wako ili umsifie! Mbona nyie warusi wa buza mnataka kuwa na akili kama za putinNina uhakika hapo umefanya utani. Nafahamu uelewa wako sio wakutoa maoni kama haya
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kwamba wameeua maelfu ya raia, sidhani kama hata wenyewe wanaweza wakajisifia kwa hili.Huwa ana shindwa lakini huwa anaacha uharibifu na mauaji makubwa.
Hata Urusi akishindwa Ukraine bado maafa aliyo yaacha Ukraine yatadumu kwa muda mrefu sana.
Kabisa na lazima imegwe hakuna namna yaani[emoji23][emoji23]...mtaandika vyote ila tunamega Ukraine taratibu.
Yaani arushe tu jiwe bila ya sababuKiduku aliambiwa kama unataka kuona moto ambao hujawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe basi arushe hata jiwe popote duniani kwenye maslahi ya USA aone.... Mpaka Leo Kiduku anaishiaga kurusha hewani kama maputo
Soma hapa[emoji116]
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Walienda kwamalengo gani !!?Afghanistan kapigwa na nani?... Punguzaga mahaba kuna mimba za uzeeni USA alienda Afghanistan kwa malengo yametimia wameondoka kuna sehemu yoyote USA ataikalia Afghanistan milele?
Afghanistan kumuua Osama, Iraq kumng'oa Saddam.Malengo gani yaliyotimia Afghastan, acha uongo. Malengo gani yalitimia Iraq?
Siku 22 tu Baghdad ishatekwa na utawala wa Saddam ushaangushwa, Ukraine imeshasaidiwa na viongozi wa juu wa UK na US wamefika kyiv na kuahidi kumsaidia Zelensky.Ni kweli Marekani vita ya Vietnam Haku fanikiwa kuchukua kijiji hata kimoja... Vita ambavyo Marekani Alipigana baada ya vita ya pili ya kwa mafanikio ni Iraq tu napo alitumia takribani siku 38 kuiangusha Baghdad peke yake..... Urusi walionya mtu atakae ingilia vita atakiona cha moto mpaka Sasa hakuna nchi hata moja ilioingilia vita na nategemea mpaka urusi atafanikiwa anachokitaka Ukraine hakuna atakae fanikiwa,.. 2008 urusi alivamia Georgia USA ma wa shirika wake waliishia kupiga mdomo na kutoa silaha mpaka vita inakwisha... Mkuu mimi sio shabiki wa urusi na Marekani ila unapoona mbane mwenzio anamuonea mdhaifu inabidi umsaidie mdhaifu kwa mikwara ya mbali maana unajua uwezo wa mbabe mwenzio na ukiruhusu kumwingilia mtaishia kuumia wote.... Marekani na urusi Hawa wote ni super powers,. Amna wakumzingua mwenzie wanaogopana japo urusi huwa Hawana porojo nyingi uwa w anafanya vitendo zaidi
KabisaaaVita vya Vietnam 1955-1975: north vietnam ilikuwa supported na soviet union na south vietnam walikuwa supported na US wakala kichapo cha mbwa koko then wakakimbia vita.
Vita vya kiraia Urussi 1918-1920: wakala kichapo wakakimbia vita.
Vita vya kiraia Laotian, CIA wanaita the secret war 1953-1975: USA wakala kichapo tena wakakimbia uwanja wa vita.
Bay of Pigs Invasion cuba 1961: USA walikuwa wanatoa msaada kwa siri na kuratibu kila kitu mpaka kutuma Brigade 2506, lakini wakepewa kipondo na kukimbia vita.
Multinational Force in Lebanon 1982–1984: USA na wenzake wakala tena kichapo na kuacha virago vitani.
Cambodian Civil War 1967–1975: USA katatindikwa tena.
First U.S. Intervention in the Somali Civil War 1992–1995: USA kapigwa tena.
Vita ndani ya Afghanistan au Taliban war 2001–2021: USA amehangaika kwa miaka 20 mfululizo na mwisho wa siku kama kawaida yake kakimbia vita.
Hizi ni vita vinavyoendela kwa miaka na hakuna dalili ya ushindi kwa USA tena wanaopigana nao ni magaidi ya kiarabu sasa sidhani kama wataweza moto wa Russia.
American intervention in Yemen 2002-mpaka leo bado wanahangaika.
Second U.S. Intervention in the Somali Civil War 2007-mpaka leo.
American-led intervention in Syria 2014–mpaka leo.
Marekani na mikwala yake ya hollywood movies na white supremacy shit, zaidi ya hapo ameshapoteza heshima yake hasa kwenye mgogoro huu wa Russia na Ukraine.
Na kamwe hawatojaribu kwenda direct kupambana na Russia kama wanavyofanya huko kwengine, papa amekutana na simba.
Ujue hapo wametishika ndio maana. Wameona wamechunguliwa.Alisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani
Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu Amerika ni Nchi ya kuikimbia kwenye vita maana imeona vita, imecheza vita na unajua vita na haipendi vita.
Lakin ukipenda vita na Marekani andaa wa kulea watoto wako maana hutabaki salama! Vita siyo sehemu ya maonesho ya Bunduki kwa amerika bali ni vitendo.
View attachment 2200587
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika nakueleza Jamaa bado wana kusanya sababu na ushaidi wa kutoshaa dadekii
Mbona hawakuipiga Pakistan hata baada ya kumkuta Usama kwao!?Latest version ya Taliban ni tofauti saana na ile ya mwanzo ya akina Mullar Omar, iliyokuwa inahifadhi na kufadhili magaidi Wakubwa akina Osama bin Laden.
Hawa wa sasa angalau walitubu, wakaongoka, wakakiri kubadilika, na wakaahidi kuwa kamwe hawatorudia dhambi ya kuruhusu ardhi yao kutumiwa tena kama hifadhi na maficho ya magaidi (terror haven), wala hawatafadhili magaidi kama mwanzo.
Kuna watu wanadhani Taliban walishinda ile vita. Lakini ukweli ni kuwa Taliban walikabidhiwa nchi yao kwa makubaliano maalum 'US - Taliban Agreement' yaliyosainiwa Doha, Qatar, baada ya majadiliano na makubaliano.
![]()
Taliban and U.S. Strike Deal to Withdraw American Troops From Afghanistan (Published 2020)
After more than a year of talks, the agreement lays out the beginning of the end of the United States’ longest war. But many obstacles remain.www.nytimes.com
hakuna siku itaja tokea US VS RUSSIA wakapigana head on, haipo!Hiyo ni hotuba ya kurudisha Imani iliyopotea kwa raia wa Marekani.
Hata Kiduku walimwbia hivyohivyo,"all option are on the table"- Kiduku bado yupo.
"Assad must go" Assad bado yupo.
Tuache unafiki Marekani sio wa kuipiga mkwara Urusi.
Au labda anazungzia matumizi ya nyukilia kwa kushitukiza.
Washabiki bana,mmekalia kushabikia vijineno Sasa.
Ooh Urusi amezoea safari hii wanamsubiri TU akiivamia Ukraine hawamwachi.kavamia Sasa imebaki vikao TU Kila siku na kupeleka vijisilaha vinavyoishia kuteketezwa.
Hebu tuache ushabiki wa kitoto,vita ya Urusi na Marekani haitakua kama vita tulizozizoea kuzisikia na kuziona.
Urusi sio Vietnam, Iraq, Afghanistan, Yugoslavia, Libya, Panama, Somalia, wala sio Alqaida, ISIS.
Kama alivyosema Rais wa Marekani Bideni Safari hii wanadili na moja ya jeshi kubwa Duniani.
Pakistan ndo walisaidia kuelekeza maficho ya Osama.Mbona hawakuipiga Pakistan hata baada ya kumkuta Usama kwao!?
Usiamini sana habari unazolishwa na vyombo vya habari vya mashoga
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Aisee ndo maana marekani wanashindaga vita Hotuba ya Jamaa imejaa ushawishi hata Kama hamtaki Mtaenda si Kama warusi wanaolazimishwa