USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

USA tells Russia : If you are wise America is a phenomena to avoid in war, if you want war with USA prepare someone to raise your Children

Acha maneno mengi Marekani na washirika wake walishindwa vita nchini Afghanistan hayo mengine ni porojo.
na waliposhindwa , washindi Taliban walienda kuomba fedha za kuendesha nchi huko kwa waliowashinda , je ww umempiga mtu unaeza kwenda kwake kuomba msaada wa fedha za kuendesha nchi
 
Kila kitu ni mda wake. Kama vile tuliacha barter trade, tutaachana na petro dollar na kushika chengine.
Ahsante kwa kunielewa,kwa maana hiyo siyo leo wala kesho wala miaka 10 ijayo,hilo litawezekana miaka mingi ijayo,sasa hizi ndoto za Pro Putin kuwa muda si mrefu mambo yatabadirika zinatoka wapi
 
Kuna jamaa huku chini anaropoka akisema eti USA toka Vita ya pili ya dunia iishe kashinda Vita na Iraq tu.
We jamaa acha uongo.
Mie siipendi USA ila USA Ni taifa lenye nguvu tusipinge.
HIYO NATO ASILIMIA 70 PESA NA VIFAA NA WANAJESHI NI WA USA.
KWAHIYO NATO INA NGUVU KWASABABU YA USA.
Vita na Somalia alienda kumuua Farah Aidid na alifanikiwa japo alipoteza wanajeshi wengi.
Afghanistan kaona hana maslahi napo keshanufaika napo vya kutosha maana viongozi wa Afghanistan kwa miaka yote 20 hiyo waliwekwa na kulindwa na USA.
Usisahau Libya amewaliza USA,Misri regime change kafanya USA.
HATA HIYO SOVIET IMEVUNJWA NA FIGISU ZA USA.
Nchi pekee inazois
 
anaombaje support unajua maana ya NATO? Unajua fees ambao anatoa. Kamuulize trump alivyokuta ma billion ya dola amerika inayochangia. Mpaka kutaka kujitoa au nchi wanachama waongeze michango.

Nato ni kibubu cha marekan anadunduliza hela kwa ajili ya ulinzi.
US hawezi kupigana na real power. Anaonea failed states baada ya miaka mingi ya sanctions.

Hajawahi kuingia ulingoni na real countey na kushinda.
 
Ikiwa marekani kashindwa vita huko Afghanistan, Vietnam..ana ubavu gani wa kupigana na Urusi. Russia sio Iraq jombaa
 
Kinachowapa jeur americans ni pesa... Anaweza pigana vita miaka 10 na bao uchumi wake ukasimama.. sasa wew unaepigana nae utaweza simama..?
Bajet ya jeshi la marekan kwa mwaka ni 800bil$ wakat rusia ni 90bil$ kwa mwaka
Pesa zipi wakati ni nchi inaongoza kwa kudaiwa..anadaiwa zaidi ya trillion 650. Hela gani za kupigana miaka 10. Wabongo bana 😂😂
 
Kuna jamaa huku chini anaropoka akisema eti USA toka Vita ya pili ya dunia iishe kashinda Vita na Iraq tu.
We jamaa acha uongo.
Mie siipendi USA ila USA Ni taifa lenye nguvu tusipinge.
HIYO NATO ASILIMIA 70 PESA NA VIFAA NA WANAJESHI NI WA USA.
KWAHIYO NATO INA NGUVU KWASABABU YA USA.
Vita na Somalia alienda kumuua Farah Aidid na alifanikiwa japo alipoteza wanajeshi wengi.
Afghanistan kaona hana maslahi napo keshanufaika napo vya kutosha maana viongozi wa Afghanistan kwa miaka yote 20 hiyo waliwekwa na kulindwa na USA.
Usisahau Libya amewaliza USA,Misri regime change kafanya USA.
HATA HIYO SOVIET IMEVUNJWA NA FIGISU ZA USA.
Nchi pekee inazois
Ameshinda pemgi
 
Pesa zipi wakati ni nchi inaongoza kwa kudaiwa..anadaiwa zaidi ya trillion 650. Hela gani za kupigana miaka 10. Wabongo bana [emoji23][emoji23]
Pale Maskini wa kutupwa anapomcheka tajiri aliye na mkopo Bank [emoji3][emoji3]
 
Pale Maskini wa kutupwa anapomcheka tajiri aliye na mkopo Bank [emoji3][emoji3]
Nchi tajiri duniani ilikuwa Libya tu, ndo ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote. Hizo zingine njaa tu, ndo maana kila siku kuleta vita kwenye nchi za watu wenye rasilimali waweze kuiba
 
Nchi tajiri duniani ilikuwa Libya tu, ndo ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote. Hizo zingine njaa tu, ndo maana kila siku kuleta vita kwenye nchi za watu wenye rasilimali waweze kuiba
[emoji3][emoji3][emoji3] JF ni therapy tosha
 
Alisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani

Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu Amerika ni Nchi ya kuikimbia kwenye vita maana imeona vita, imecheza vita na unajua vita na haipendi vita.

Lakin ukipenda vita na Marekani andaa wa kulea watoto wako maana hutabaki salama! Vita siyo sehemu ya maonesho ya Bunduki kwa amerika bali ni vitendo.

View attachment 2200587
US hawezi kupigana peke yake hata siku moja lazima afanye ushirikiano na majeshi ya nchi zingine, huwezi kuifananisha Urusi kijeshi na nchi inayojigamba kwa kupigana huku ikitegemea kushirikiana na majeshi ya nchi zingine
 
Back
Top Bottom