Kila kitu ni mda wake. Kama vile tuliacha barter trade, tutaachana na petro dollar na kushika chengine.Sasa ni lini Dunia itaachana na Petro dollar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu ni mda wake. Kama vile tuliacha barter trade, tutaachana na petro dollar na kushika chengine.Sasa ni lini Dunia itaachana na Petro dollar?
na waliposhindwa , washindi Taliban walienda kuomba fedha za kuendesha nchi huko kwa waliowashinda , je ww umempiga mtu unaeza kwenda kwake kuomba msaada wa fedha za kuendesha nchiAcha maneno mengi Marekani na washirika wake walishindwa vita nchini Afghanistan hayo mengine ni porojo.
russia loves youThe USA hates you for sure.
mahaba ndo yaliiponza Libya , Somalia , Syria na ss hv East AfrikaWe unafikiri wale wanaoitwa mercenaries ni wanajeshi wa wapi?? Na wanachapika vizuri tu
Ahsante kwa kunielewa,kwa maana hiyo siyo leo wala kesho wala miaka 10 ijayo,hilo litawezekana miaka mingi ijayo,sasa hizi ndoto za Pro Putin kuwa muda si mrefu mambo yatabadirika zinatoka wapiKila kitu ni mda wake. Kama vile tuliacha barter trade, tutaachana na petro dollar na kushika chengine.
East Afrika imefanyaje mkuu??mahaba ndo yaliiponza Libya , Somalia , Syria na ss hv East Afrika
US hawezi kupigana na real power. Anaonea failed states baada ya miaka mingi ya sanctions.anaombaje support unajua maana ya NATO? Unajua fees ambao anatoa. Kamuulize trump alivyokuta ma billion ya dola amerika inayochangia. Mpaka kutaka kujitoa au nchi wanachama waongeze michango.
Nato ni kibubu cha marekan anadunduliza hela kwa ajili ya ulinzi.
Pesa zipi wakati ni nchi inaongoza kwa kudaiwa..anadaiwa zaidi ya trillion 650. Hela gani za kupigana miaka 10. Wabongo bana 😂😂Kinachowapa jeur americans ni pesa... Anaweza pigana vita miaka 10 na bao uchumi wake ukasimama.. sasa wew unaepigana nae utaweza simama..?
Bajet ya jeshi la marekan kwa mwaka ni 800bil$ wakat rusia ni 90bil$ kwa mwaka
Ameshinda pemgiKuna jamaa huku chini anaropoka akisema eti USA toka Vita ya pili ya dunia iishe kashinda Vita na Iraq tu.
We jamaa acha uongo.
Mie siipendi USA ila USA Ni taifa lenye nguvu tusipinge.
HIYO NATO ASILIMIA 70 PESA NA VIFAA NA WANAJESHI NI WA USA.
KWAHIYO NATO INA NGUVU KWASABABU YA USA.
Vita na Somalia alienda kumuua Farah Aidid na alifanikiwa japo alipoteza wanajeshi wengi.
Afghanistan kaona hana maslahi napo keshanufaika napo vya kutosha maana viongozi wa Afghanistan kwa miaka yote 20 hiyo waliwekwa na kulindwa na USA.
Usisahau Libya amewaliza USA,Misri regime change kafanya USA.
HATA HIYO SOVIET IMEVUNJWA NA FIGISU ZA USA.
Nchi pekee inazois
Pale Maskini wa kutupwa anapomcheka tajiri aliye na mkopo Bank [emoji3][emoji3]Pesa zipi wakati ni nchi inaongoza kwa kudaiwa..anadaiwa zaidi ya trillion 650. Hela gani za kupigana miaka 10. Wabongo bana [emoji23][emoji23]
Nchi tajiri duniani ilikuwa Libya tu, ndo ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote. Hizo zingine njaa tu, ndo maana kila siku kuleta vita kwenye nchi za watu wenye rasilimali waweze kuibaPale Maskini wa kutupwa anapomcheka tajiri aliye na mkopo Bank [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] JF ni therapy toshaNchi tajiri duniani ilikuwa Libya tu, ndo ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote. Hizo zingine njaa tu, ndo maana kila siku kuleta vita kwenye nchi za watu wenye rasilimali waweze kuiba
US hawezi kupigana peke yake hata siku moja lazima afanye ushirikiano na majeshi ya nchi zingine, huwezi kuifananisha Urusi kijeshi na nchi inayojigamba kwa kupigana huku ikitegemea kushirikiana na majeshi ya nchi zingineAlisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani
Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu Amerika ni Nchi ya kuikimbia kwenye vita maana imeona vita, imecheza vita na unajua vita na haipendi vita.
Lakin ukipenda vita na Marekani andaa wa kulea watoto wako maana hutabaki salama! Vita siyo sehemu ya maonesho ya Bunduki kwa amerika bali ni vitendo.
View attachment 2200587
Tacts advancement ndicho kinachoringiwa hapa!Kile kichapo alichokipata kule Vietnam ilikuwaje Sasa?