USA vs China Aircraft carrier

Kisa boya wenu US hana basi ndo dunia nzima haina,,,,, wenye nayo wameshasema yanapiga hadi moving target kama vipi nenda kabishane nao
 
Russia ataivamia USA kwa kutumia nini. Kwenye hiyo vita Marekani ndio ataivamia Russia, sio Russia kuivamia Marekani.

Ukishakubali vita ipiganwe kwako, chances za kushindwa ni kubwa. Wewe unasema Marekani, sasa hata China tu anaipiga Russia.
Americant ataivamia Russia kwa kutumia nini ambacho Russia hataweza kukitumia kwa Americant [emoji848]
 
Kikubwa nachoona hapa ni mahaba niue,,,, wenye vifaa vyao wamekiri,,,,,, kama upande ule hamna basi msifosi tufanane....... Ngonjera ziendelee
 
Kinzhal haina hata range ya 500km. Hiyo carrier itaipatia wapi au unadhani carrier inapaki bandarini?
Haina haja naona umeenda kuisoma vizuri ila umekosea ni 5km,,,,,,ushachagua ladha ya mataputapu unayopenda
 
Kisa boya wenu US hana basi ndo dunia nzima haina,,,,, wenye nayo wameshasema yanapiga hadi moving target kama vipi nenda kabishane nao
Hapa sasa umepaniki baada ya hypersonic uchwara yako kuwa haina uwezo. Kinzhal inabebwa na ndege, hiyo ndege itafikaje kwenye range ya aircraft carrier?

Wakati carrier kama Ford class inazo ndege zaidi ya 70 zenye range ya more than 1000km. Kinzhal haina hata range ya 500km, kabla ndege iliyoibeba haijaweza hata kufanya lock on tiyari ndege za kuilinda carrier zishaisambaratisha angani
 
Haina haja naona umeenda kuisoma vizuri ila umekosea ni 5km,,,,,,ushachagua ladha ya mataputapu unayopenda
Nina imani Kinzhal nimeijua kabla hujaijua. Wala sijasoma article yako sababu najua haina kipya cha kunieleza.

And then, Kinzhal haina range ya 5km. Kumbe hata huijui
 
Nina imani Kinzhal nimeijua kabla hujaijua. Wala sijasoma article yako sababu najua haina kipya cha kunieleza.

And then, Kinzhal haina range ya 5km. Kumbe hata huijui
Kwakua ni mteja wa muda mrefu tufanye 500m........... Jipige kifua
 
Ongezea na kibwagizo kabisa...... Ukishakutana na mahaba niue haina haja ya kupoteza nguvu
 
Umetumia vigezo gani kuilinganisha aircraft carrier ya China na Marekani hadi ufikie hilo hitimisho?
 
Ukraine hiihii inayopewa silaha za miaka 30-40 iliyopita lakini still zinamsumbua superpower wa mchongo.

Mpaka sasa ukraine haijapewa makombora ya masafa marefu (500+ km) wakati Russia ina kila aina ya makombora lakini ni mwaka wa pili sasa haijakamata Donbas yote.
 
Hata Russia inatumia silaha za miaka 30 40 iliopita chanzo bbc

Tena Russia ishaishiwa mpaka silaha ila wanapigana na makoleo lakini bado wanaitwanga ukraine

Alokwambia Russia ana haraka yakubeba maeneo yake nani

Nakukumbusha tu PUT IN alitangaza ya kwamba SMO is a long process naomba watafte wakalimani huko wakutafsirie. Hapo
 
Endelea kajifariji, babu yenu MadveMadvedev anasema washatumia kila aina ya silaha kushambulia Ukraine, imebaki Nyuklia tu.

The Russian Federation has used all kinds of weapons against Ukraine, "except for nuclear weapons," Medvedev said.

View: https://twitter.com/nexta_tv/status/1745456026063949947?t=kjG2sBO7pWpDQ2hG7uprOQ&s=19
 
Hata Russia inatumia silaha za miaka 50 nyuma waulize hata BBC watakwambia

Ila Bado wanajimegea maeneo kila leo

Na SMO ipo sana maana PUT IN alisema ni Long term process
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…