USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

Uongo. Cruise missiles ndio zenye uwezo wa kubadili direction kirahisi sababu ya engines zake, ukishakuwa na hata supersonic missile ya juu zaidi inakuwa vigumu kubadili direction. Mfano ramjet engines zina kasi kubwa ila haziwezi badili mwelekeo kirahisi na hazina range kubwa, mwishowe missiles nyingi zinaishia kuwa na jet engines.

Hypersonic missile inayopiga vitu vinavyotembea mpaka sasa HAIPO
Kisa boya wenu US hana basi ndo dunia nzima haina,,,,, wenye nayo wameshasema yanapiga hadi moving target kama vipi nenda kabishane nao
 
Russia ataivamia USA kwa kutumia nini. Kwenye hiyo vita Marekani ndio ataivamia Russia, sio Russia kuivamia Marekani.

Ukishakubali vita ipiganwe kwako, chances za kushindwa ni kubwa. Wewe unasema Marekani, sasa hata China tu anaipiga Russia.
Americant ataivamia Russia kwa kutumia nini ambacho Russia hataweza kukitumia kwa Americant [emoji848]
 
Kinzhal haina uwezo wa kupiga moving target. Haiko very accurate hata kwa stationary targets.

Na hata ingekuwa na uwezo wa kupiga moving targets, haina range ya kutosha. Kinzhal ni air launched missile, inarushwa na ndege kama Su-34, Mig-31 na Tu-22 ambazo haziwezi sogea kwenye range ya aircraft carrier. US carriers zina escorting fighters zenye ubora kuliko Urusi. Carriers vilevile zina airborne air warning aircraft kama E2D Hawkeye inayoona missiles na ndege kwa range kubwa.

Vilevile US carriers zinasindikizwa na destroyers zenye missile interceptors nyingi na anti aircraft missiles nyingi.

Hiyo Kinzhal yako ili ifike kwenye carrier ya Marekani inabidi ipelekwe na ndege ambazo wala sio stealth, ni mandege makubwa yanaonekana kwenye radars mapema kabla hata hayajajua yameonekana na wala hayajafika range ya kurusha Kinzhal. Na Kinzhal yenyewe inakuwa programmed kwa kitu kisichohama. Carriers muda wote huwa safarini, uzuri ni nuclear powered.

Kinzhal hata waliotengeneza watashangaa ukitaja kuhusu aircraft carrier.
Kikubwa nachoona hapa ni mahaba niue,,,, wenye vifaa vyao wamekiri,,,,,, kama upande ule hamna basi msifosi tufanane....... Ngonjera ziendelee
 
Kinzhal haina hata range ya 500km. Hiyo carrier itaipatia wapi au unadhani carrier inapaki bandarini?
Haina haja naona umeenda kuisoma vizuri ila umekosea ni 5km,,,,,,ushachagua ladha ya mataputapu unayopenda
 
Kisa boya wenu US hana basi ndo dunia nzima haina,,,,, wenye nayo wameshasema yanapiga hadi moving target kama vipi nenda kabishane nao
Hapa sasa umepaniki baada ya hypersonic uchwara yako kuwa haina uwezo. Kinzhal inabebwa na ndege, hiyo ndege itafikaje kwenye range ya aircraft carrier?

Wakati carrier kama Ford class inazo ndege zaidi ya 70 zenye range ya more than 1000km. Kinzhal haina hata range ya 500km, kabla ndege iliyoibeba haijaweza hata kufanya lock on tiyari ndege za kuilinda carrier zishaisambaratisha angani
1000196005.jpg
 
Haina haja naona umeenda kuisoma vizuri ila umekosea ni 5km,,,,,,ushachagua ladha ya mataputapu unayopenda
Nina imani Kinzhal nimeijua kabla hujaijua. Wala sijasoma article yako sababu najua haina kipya cha kunieleza.

And then, Kinzhal haina range ya 5km. Kumbe hata huijui
 
Nina imani Kinzhal nimeijua kabla hujaijua. Wala sijasoma article yako sababu najua haina kipya cha kunieleza.

And then, Kinzhal haina range ya 5km. Kumbe hata huijui
Kwakua ni mteja wa muda mrefu tufanye 500m........... Jipige kifua
 
Hapa sasa umepaniki baada ya hypersonic uchwara yako kuwa haina uwezo. Kinzhal inabebwa na ndege, hiyo ndege itafikaje kwenye range ya aircraft carrier?

Wakati carrier kama Ford class inazo ndege zaidi ya 70 zenye range ya more than 1000km. Kinzhal haina hata range ya 500km, kabla ndege iliyoibeba haijaweza hata kufanya lock on tiyari ndege za kuilinda carrier zishaisambaratisha angani View attachment 2869072
Ongezea na kibwagizo kabisa...... Ukishakutana na mahaba niue haina haja ya kupoteza nguvu
 
Umetumia vigezo gani kuilinganisha aircraft carrier ya China na Marekani hadi ufikie hilo hitimisho?
 
Ila ukraine inaungwa mkono na nato inaungwa mkono na G7
Inaungwa mkono namataifa zaidi ya 40 dunia nzima

Ila inachakazwa na mataifa matatu yalioungana

Kwalugha nyepesi nikwamba muungano wa mataifa matatu una nguvu kuliko hao makubwa jinga 40 yaloungana
Ukraine hiihii inayopewa silaha za miaka 30-40 iliyopita lakini still zinamsumbua superpower wa mchongo.

Mpaka sasa ukraine haijapewa makombora ya masafa marefu (500+ km) wakati Russia ina kila aina ya makombora lakini ni mwaka wa pili sasa haijakamata Donbas yote.
 
Hata Russia inatumia silaha za miaka 30 40 iliopita chanzo bbc

Tena Russia ishaishiwa mpaka silaha ila wanapigana na makoleo lakini bado wanaitwanga ukraine

Alokwambia Russia ana haraka yakubeba maeneo yake nani

Nakukumbusha tu PUT IN alitangaza ya kwamba SMO is a long process naomba watafte wakalimani huko wakutafsirie. Hapo
 
Endelea kajifariji, babu yenu MadveMadvedev anasema washatumia kila aina ya silaha kushambulia Ukraine, imebaki Nyuklia tu.

The Russian Federation has used all kinds of weapons against Ukraine, "except for nuclear weapons," Medvedev said.

View: https://twitter.com/nexta_tv/status/1745456026063949947?t=kjG2sBO7pWpDQ2hG7uprOQ&s=19
 
Ukraine hiihii inayopewa silaha za miaka 30-40 iliyopita lakini still zinamsumbua superpower wa mchongo.

Mpaka sasa ukraine haijapewa makombora ya masafa marefu (500+ km) wakati Russia ina kila aina ya makombora lakini ni mwaka wa pili sasa haijakamata Donbas yote.
Hata Russia inatumia silaha za miaka 50 nyuma waulize hata BBC watakwambia

Ila Bado wanajimegea maeneo kila leo

Na SMO ipo sana maana PUT IN alisema ni Long term process
 
Back
Top Bottom