USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

Yani we jamaa sijui unaongea mavitu gani!!!!? Sasa kama hazina umuhimu kwanini hayo mataifa bado wanahangaika kuzitengeneza ikiwemo hiyo Urusi yako.?!

Urusi wanayo Yao ile mbovu ingekua hawaihitaji si washaiharibu lakini ipo kwenye karakana inafanyiwa matengenezo irudi kazini.

Halafu kwa akili yako unadhani Aircraft carrier inasafiri yenyewe!!? Unajua kitu kinaitwa Carrier Strike Group?! Hiyo inakua convoy kamili yenye Destroyer ambazo Zina powerful air defense, frigate, cruiser bila kusahau submarines. Carrier yenyewe inabeba ndege maalum zenye early warning radars ku detect targets zikiwa mbali kabisa. Au huoni hapo Red Sea Ant ship ballistic missiles za Houthi (wanazopewa na Iran) zinavyoshushwa na Arleigh Burke destroyers?!
Kijana hem nisome vyema unielewe acha kukurupuka

Kama hutaelewa nilichokiandika huwezi ukaelewa lolote

Nimekuelezea hapo hasara na faida ya hizo ngarawa hujaona ama umeamua kutia pamba za maskio??

Unaona mifano yako houthi wanatengeneza silaha gani kali hemu taja walau moja ya silaha yao yakueleweka ya hao jamaaaa

Karia hata iongozane na destroyer mia sita ikiutana na taifa kama iran Russia uchina na korea North yaani zitatwangwa kuanzia destroyer kabla yakumalizana na hizo karia zenyewe

Yaani unaisifia karia kisa imetungua makombora ya houthi [emoji3]
 
Kama yeye anavyopigwa panapofaa zile mbwembwe za kusifu Air defenses za Urusi hatuzisikii tena. Imagine kambi ya jeshi tena makao makuu ya fleet (pale Crimea) inayolindwa na kila aina ya SAM (S-400, nk) ilibutuliwa kwa makombora matatu ya Storm shadow ambayo ni teknolojia ya miaka ya 1990s.

Ukraine imepiga meli hapo Crimea, submarine imepigwa hapo Crimea, S-400 zimeharibiwa, bila kusahau kwasasa ukraine inajipigia tu ndani ya Urusi.
Ila wewe bado unaendelea kuamini kwamba kariya kisa inatembea na destroyer itakua salama

Labda kama itapigana na houthi nakuhakikishia itakua salama kwazaidi ya 200% hizo ngarawa
 
Kama Marekani si lolote si chochote waambie China wavamie Taiwan au Urusi ajaribu kuichukua tena Alaska kama alivyojitapa kuichukua Crimea.
Kwanini usiwaambie marekani wakaivamia Russia ili iache kumpiga ukraine kama ilivyo vamia iraq wakati inaipiga Kuwait

Suala la crimea na alaska ni tofauti fatilia mambo acha kukurupuka kijana alaska iliuzwa crimea walipewa tu zawadi sasa mwenyewe kaamua kuichukua

Sasa kitu ukiuze tena uje ukirudie siutakua huna akili

Mwambie Americant akaisaidie ukraine kueka hata No Fly Zone tu
 
Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
Kamba

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Alilia lia sababu hata yeye alikubali matakwa ya ussr kama asingekubali matakwa ya ussr angepinga matakwa yao yakutaka silaha za masafa ya kati za nyuklia kuekwa ulaya (shida unadhani historia unafatilia pekeako)

Hata wewe unaweza ukanifundisha au wewe sio mtu?

Hamna ubishi wa kijinga us angekubali kuba akawa na silaha alizotaka kua nazo ili aje atudhihirishie usupa power wake

Sasa unataka utuaminishe kua wewe super power wakat haitaki majirani zake nanguvu ya kupambana nae

Hoja unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe nahapa utakua unafail kila siku mzee mwenzangu

Nakusoma Mkuu ila Kwa hii hoja naona kama unafeli. Wewe wazijua nuclear weapons na madhara yake. Na hakuna taifa linataka liyapate na hiyo yaweza kuwa ni Moja ya sababu urusi inapigana pale Ukraine.

Pale Cuba kama lingekuwa ni suala la kushinda vita basi marekani wange sacrifice raia wake katika miji Ile iliyokuwa target halafu wangeshambulia Cuba with no mercy na kushinda.

Halafu pia hata ussr isingekuwa salama na nuclear missiles za pale ulaya.

Kama unasema angeruhusu Cuba awe nazo nuclear ili aoneshe u superpower wake,unadhani Kwa nini urusi aliziondoa pale Ukrain baada ya ussr kuvunjika???

Hivyo kuhusu hapo cuba,naweza sema walichagua amani dhidi ya madhara ya silaha za nuclear ambayo wangepata hata kama wangeshinda.
 
Wote wanaoshabikia urusi, China , Iran , sjui North Korea , mostly they know nothing about war , huwa ni ushabiki wa kusoma silaha zilizoainishwa sifa zake na kuwekwa gharani , basi ndo huwa wanatamba nazo , Vita inatakiwa uingie front ndo ujue Una silaha au unajidanganya, Vita sio mchezo wa kuingiza
 
Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
Majenerali wa jeshi la jf tanzania, wakiwa live wanachambua zana za kisasa za kivita Duniani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wote wanaoshabikia urusi, China , Iran , sjui North Korea , mostly they know nothing about war , huwa ni ushabiki wa kusoma silaha zilizoainishwa sifa zake na kuwekwa gharani , basi ndo huwa wanatamba nazo , Vita inatakiwa uingie front ndo ujue Una silaha au unajidanganya, Vita sio mchezo wa kuingiza
😂😂😂Wewe ndio haufahamu kitu na unaongozwa na ushabiki maandazi. Fahamu kwamba kwa kuzitengeneza na kuzifanyia majaribia na kuziweka gharani, USA na vikalagosi vyake hawataweza kukusogelea kamwe
 
Kwanini usiwaambie marekani wakaivamia Russia ili iache kumpiga ukraine kama ilivyo vamia iraq wakati inaipiga Kuwait

Suala la crimea na alaska ni tofauti fatilia mambo acha kukurupuka kijana alaska iliuzwa crimea walipewa tu zawadi sasa mwenyewe kaamua kuichukua

Sasa kitu ukiuze tena uje ukirudie siutakua huna akili

Mwambie Americant akaisaidie ukraine kueka hata No Fly Zone tu
Ndugu zako mpaka Leo bado wanaiota Alaska. Wajaribu kurusha hata Kokoto waone cha mtema kuni

View: https://youtu.be/XF5PCtM7b2E?si=Ic2vl-6-vtvzQ74X
 
Ila wewe bado unaendelea kuamini kwamba kariya kisa inatembea na destroyer itakua salama

Labda kama itapigana na houthi nakuhakikishia itakua salama kwazaidi ya 200% hizo ngarawa
Kwahiyo ww una akili kuliko China, US, India na Russia wanaotengeneza hizo carrier?!
Carrier kazi yake ni kubeba ndege ulinzi ni kazi ya destroyers, Cruisers, sub na fighter jets.

View: https://youtu.be/y46qbLFAlVY?si=WyCS2RoKf1Uge6sTLeo hii drone 18 na Ant ship ballistic missiles za Houthi zimeshushwa na US Navy.
 
Kijana hem nisome vyema unielewe acha kukurupuka

Kama hutaelewa nilichokiandika huwezi ukaelewa lolote

Nimekuelezea hapo hasara na faida ya hizo ngarawa hujaona ama umeamua kutia pamba za maskio??

Unaona mifano yako houthi wanatengeneza silaha gani kali hemu taja walau moja ya silaha yao yakueleweka ya hao jamaaaa

Karia hata iongozane na destroyer mia sita ikiutana na taifa kama iran Russia uchina na korea North yaani zitatwangwa kuanzia destroyer kabla yakumalizana na hizo karia zenyewe

Yaani unaisifia karia kisa imetungua makombora ya houthi [emoji3]
We jamaa kweli hamnazo, unauliza kabisa Houthi wana silaha gani?!
Houthi inaungwa mkono na Iran na Ina kila aina ya silaha kuanzia long range Ballistic missiles, cruise missiles,air defenses mpaka fighter jets.

Angalia military parade Yao hapo chini

View: https://youtu.be/emZffRVU5PY?si=XE4s-2N7d0za7OKu

Unadhani Houthi ni Hamas au Hezbollah?!

View: https://youtu.be/6E7wuKs7bVU?si=xHcSxyxSIhdmJaml
 
Siku ya mwaka mpya US Navy iliua wanamgambo wa Houthi 10 wakiwa kwenye viboti vyaoView attachment 2866058

Meli za US zimekuwa zikifanya interceptions kadhaa za missiles na suicide drones, najua unajua ila inakuuma kukubali. Houthi hawana level za kupelekewa carrier, hao ni watoto unless US iwe inataka kuwafuata kuwashambulia
Weka na picha za wa Israel waliokufa sasa
 
Kwahiyo ww una akili kuliko China, US, India na Russia wanaotengeneza hizo carrier?!
Carrier kazi yake ni kubeba ndege ulinzi ni kazi ya destroyers, Cruisers, sub na fighter jets.

View: https://youtu.be/y46qbLFAlVY?si=WyCS2RoKf1Uge6sTLeo hii drone 18 na Ant ship ballistic missiles za Houthi zimeshushwa na US Navy.

Kwani, kwanza hizo ndege zinabebwa kupelekwa wapi? Kufanya kazi gani!?

Kwa sasa,nani hana mshilika kiasi kwamba hata asipolenga target akiwa kwake,atakosa eneo la ndege zake kutua? Kitu gani kisichowezekana! Naongelea kulizamisha! Wote walio nayo,leo hii wanajua uwezekano wa kulizamisha ni mkubwa. Kama kubebea helcopter sawa.
 
Back
Top Bottom