USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

Ingekuwa population ya China ni sawa na USA, GDP ya China ingekuwa kubwa zaidi.
China ina watu wengi kuliko USA ila bado USA ina GDP kubwa zaid
USA ina watu milioni 340 na GDP yake mwaka 2024 ilikuwa ni $29 Trillions
China ina watu bilioni 1.4 ila GDP yake mwaka 2024 ni $18.8 Trillions
Kama China ingekuwa na watu sawa na USA yani (340 million people) maana yake nguvu kazi ingekuwa ndogo na uchumi wa China ungekuwa mdogo mara dufu ukilinganisha na USA

Na kama unaongelea GDP per capita bado si sahihi kwa sababu kivyovyote vile, Uchumi wa USA ni mkubwa sana zaidi ya mara moja na nusu ya uchumi wa China
 
Miji mizuri zaidi ni ile ambayo watu wengi zaidi wa mataifa mbalimbali wanatamani au wanapigania kwenda kuishi
Kuishi ama kufanya kazi na kutafuta maisha? Hivi ni vitu viwili tofauti.

Wakati wa Covid kulifanyika utafiti na Dubai ilishinda kwa overwhelming votes, Je Dubai ndio jiji bora zaidi Duniani? Hapana, linapendwa tu kwa vile halina kodi


Hii ni personal opinion yangu tu, jiji bora ni lile ambalo cost ya Maisha ni ndogo, population ndogo na unapata huduma zote za muhimu, Mengi utayakuta Ulaya sehemu kama Uswisi na Norway, Malysia, Bali Indonesia huko, kama ni UAE basi miji kama Abu Dhabi na sio Dubai etc
 
Uzuri wa mji ni nini ? Kwanza inabidi tuweke hio premise, (Sababu kuna watu USA wenyewe hawapendi kuishi New York, kama watanzania wengine wasivyopenda kuishi Dar)...; kwa watu ambao tunapenda change of scenery nataka nikiwa China nifahamu kwamba nipo China nipo UK (Victorian Culture) nijione kwamba nipo UK, Nipo Zanzibar nijione kwamba nipo Zanzibar sio natembelea Cairo au Baghdad, utake niwe kama Oslo, au nipo Amsterdam alafu nione kama nimeingie Vatican...., Vibe unayoipata Moscow au Shanghai au Tokyo au Bombay au Manilla huwezi kuipata New York au Paris....

Ndio maana huwa nawaona watu wanaoleta story za Bongo iwe kama Dubai ni kwamba wanakosa Identity.....; Ila kama tunaongelea Huduma; Usafiri, Mobility na upatikanaji wa vitu unavyotaka n.k. nadhani hapo tunaweza kuwa na mjadala....
 
Kuishi ama kufanya kazi na kutafuta maisha? Hivi ni vitu viwili tofauti.

Wakati wa Covid kulifanyika utafiti na Dubai ilishinda kwa overwhelming votes, Je Dubai ndio jiji bora zaidi Duniani? Hapana, linapendwa tu kwa vile halina kodi


Hii ni personal opinion yangu tu, jiji bora ni lile ambalo cost ya Maisha ni ndogo, population ndogo na unapata huduma zote za muhimu, Mengi utayakuta Ulaya sehemu kama Uswisi na Norway, Malysia, Bali Indonesia huko, kama ni UAE basi miji kama Abu Dhabi na sio Dubai etc
Miji mizuri zaidi ni ile inayovutia watu kutoka pande nyingi zaidi au zote za dunia kwenda kuishi. Ni ujinga kufikiria watu wengi zaidi watachagua kuja kuishi Dar badala ya California eti kwa sababu ina gharama ndogo kuliko California, watu wachache kuliko California na huduma za msingi.
 
Kuishi ama kufanya kazi na kutafuta maisha? Hivi ni vitu viwili tofauti.

Wakati wa Covid kulifanyika utafiti na Dubai ilishinda kwa overwhelming votes, Je Dubai ndio jiji bora zaidi Duniani? Hapana, linapendwa tu kwa vile halina kodi


Hii ni personal opinion yangu tu, jiji bora ni lile ambalo cost ya Maisha ni ndogo, population ndogo na unapata huduma zote za muhimu, Mengi utayakuta Ulaya sehemu kama Uswisi na Norway, Malysia, Bali Indonesia huko, kama ni UAE basi miji kama Abu Dhabi na sio Dubai etc
Achana na tafiti za kubumba, wewe mbongo gani wa kawaida umewahi kumsikia au kumuona akitamani kwenda kuishi Dubai kabisa. Hata hao wakina Kusaga na Mo ambao tunaambiwa wamehamishia makazi yao Dubai bado kila siku tunawaona hapa Dar.
 
Tatizo la miji ya china ni misongamano ya watu hasa kwenye public transport, migahawa, makazi ya biashara hakuna tofauti na mji wa dar. Japo kuna miundombinu bora ila high denstiy population pamoja na language barrier naona ni kikwazo kwenda kuishi china

kwa mji uliotulia usio na hekaheka wenye usalama wa kutosha hakuna misongamano nadhani WASHINGTON utatufaa sie utanaopenda ukimya...
 
Naona raia zimeweka mahaba mbele kuliko uhalisia, Miji mingi ya Uchina imeipiga fimbo miji ya Marekani, lakini hi habari watu wa upinde hawawezi kubali, swala la wachina kukimbilia marekani kuna sababu lukuki zinazo pelekea wao kukimbilia huko, ila hilo halizuii miji ya Uchina kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Marekani.
Hizo sababu lukuki zinazofanya Wachina wakimbilie miji mikubwa ya Marekani ndio uzuri wa miji ya Marekani.
Hapo ni kama umezidi kuweka clarification kwamba Marekani ni pazuri kuliko China
 
"China's progress in advanced infrastructure is more than 100 times faster than the US."
– Elon Musk (Feb 2018 on twitter)
​
Ni vile tu China ina watu wengi. Infrastructure za kuhudumia watu bilioni 1.4 si sawa na zile za kuhudumia watu milioni 340
Ila infrastructure nyingi haimaanishi miji ya China ni mizuri kuliko ya Marekani

Marekani ina miji yenye maghorofa mengi marefu na baridi kali kama New York City, ina miji ya joto na majengo mengi marefu yenye fukwe nzuri na za kuvutia ambazo China hakuna mfano Miami, wana miji ambayo haina population kubwa sana na ina watu wachache na maghorofa yote mafupi mfano Washington DC. Maana yake ni kwamba miji ya USA ni diverse sana na kila mji una utofauti wake kuanzia skyline, lifestyle, nightlife, weather na baadhi ya majimbo hadi sheria zinatofautiana.
Ila miji ya China ukiitazama ni kama yote ina sifa zilezile, baridi kali, maghorofa marefu ya vioo, tamaduni zilezile, matatizo yaleyale kila kitu ni kama miji mingine tu ya Kichina tofauti yake ni location tu
Ila USA New York ipo tofauti kabisa na Miami, Miami ipo tofauti kabisa na Washington DC, Washington D.C ipo tofauti kabisa na Los Angeles na miji mingine kama Detroit, Austin, Chicago, Boston nk

USA is more diverse and more beautiful than China kuanzia miji hadi generally
 
China kuna fursa sana ndio maana makampuni mengi ya Marekani yanapenda kuwekeza China

GM
Ford
KFC
Starbucks
McDonalds
Hp
Dell
Apple
Tesla
Nike


n.k
​
Hiyo ni kwa makampuni tena ni kwa vile tu Wachina wamezaliana sana kama kuku kwa hiyo wamarekani wameona watumie hiyo fursa
Ila kwa mtu mmoja mmoja USA ina fursa nyingi kuliko China kuanzia soko la ajira mpaka biashara
 
Back
Top Bottom