Ni vile tu China ina watu wengi. Infrastructure za kuhudumia watu bilioni 1.4 si sawa na zile za kuhudumia watu milioni 340
Ila infrastructure nyingi haimaanishi miji ya China ni mizuri kuliko ya Marekani
Marekani ina miji yenye maghorofa mengi marefu na baridi kali kama New York City, ina miji ya joto na majengo mengi marefu yenye fukwe nzuri na za kuvutia ambazo China hakuna mfano Miami, wana miji ambayo haina population kubwa sana na ina watu wachache na maghorofa yote mafupi mfano Washington DC. Maana yake ni kwamba miji ya USA ni diverse sana na kila mji una utofauti wake kuanzia skyline, lifestyle, nightlife, weather na baadhi ya majimbo hadi sheria zinatofautiana.
Ila miji ya China ukiitazama ni kama yote ina sifa zilezile, baridi kali, maghorofa marefu ya vioo, tamaduni zilezile, matatizo yaleyale kila kitu ni kama miji mingine tu ya Kichina tofauti yake ni location tu
Ila USA New York ipo tofauti kabisa na Miami, Miami ipo tofauti kabisa na Washington DC, Washington D.C ipo tofauti kabisa na Los Angeles na miji mingine kama Detroit, Austin, Chicago, Boston nk
USA is more diverse and more beautiful than China kuanzia miji hadi generally