USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

China ipo chini sana Kwa USA wewe endelea kubisha tu jiulize mijitu ipo bilion 1.41 lakini uchumi inazidiwa na watu milion 340 ni mjinga pekee atayeona china ni Bora kuzidi USA
Unajua hata tofauti ya China na Marekani kwenye kucalculate nominal GDP?

Uliwahi kujiuliza kwa nini China imeizidi Marekani kwenye GDP PPP?
​
 
Wenyewe wanasma hakuna jiji duniani kama New York City. Wachina wenyewe kila siku wanapambana kufika New York City...
There is no success like New York success, duniani hakuna kama Marekani...OVA... yan hata mtu alieko china anandoto za kwenda USA...hatari sana mastaa
 
Kile mtu anatamani kuishi kwenye gated community kama BEL AIR ni hatari sana mastaaa. Ni nomaaa
 

Attachments

  • Belair.jpg
    Belair.jpg
    497.7 KB · Views: 23
Back
Top Bottom