USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

Haya matusi pembeni, mi sikuwezi kwa matusi
Turudi kwenye mada, Kati ya China na Marekani wapi kuna fursa nyingi kwa watu wa kawaida, achilia mbali makampuni
Sasa wanaofanya kazi kwenye makampuni ni wanyama?

Vipi kuhusu cost of living na usalama kati ya majiji ya China na ya Marekani?
 
Kujadili miji au majumba ya nchi zilizoendelea ni upuuzi,kwa sababu ni very obvious hivyo vitu ni vizuri.
 
Sasa wanaofanya kazi kwenye makampuni ni wanyama?

Vipi kuhusu cost of living na usalama kati ya majiji ya China na ya Marekani?
China ina low cost of living na lower crime rate than USA
Vipi kuhusu level of pollution na Air quality kwenye majiji ya China na USA?
 
Point kubwa sana.

Kwa mfano sasa watu wanajali sana miji kujengwa bila kuathiri sana mazingira, si kujenga miji mikubwa tu.
Serious miji ya China ina pollution kubwa kuliko ya USA.
Miji ya USA ina small population density na sio congested kivile kama level za miji ya China
It's obvious that American cities are better
 
China ina low cost of living na lower crime rate than USA
Vipi kuhusu level of pollution na Air quality kwenye majiji ya China na USA?
High cost of living imefanya Wamarekani wengi waishi kwa credit cards. Life liko tight sana. Kipato cha wengi hakitoshelezi kuafford mahitaji

Umewahi kuona air quality ya majiji ya China miaka ya karibuni?
 
Umedanganya, ingekuwa idadi sawa ya watu na Marekani usingeiona hata kwenye top ten ya nchi zenye gdp kubwa.
Ingekua nchi ya 7 duniani nyuma ya UK na mbele ya Ufaransa. Assume all other factors are constant na ina population ya watu milioni 300 x Gdp per capita $12,000 hio ni roughly 3.6 trilion Usd
 
Back
Top Bottom