USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

Maisha yangekuwa rahisi China, usingeona wachina wanachoma mahindi Kariakoo, kuuza mitumba na kazi ndogo ndogo mpaka wananchi wanalalamika Kariakoo.
Hapo Zimbabwe na Zambia wachina wanauza mpaka mboga za majani.
Unajua kuwa kuna idadi kubwa ya Wachina Marekani na kila siku wanakwenda huko? China hakuna maisha mazuri kuliko Marekani.
Marekani ni rahisi kupata pesa kuliko China ndiyo maana huwezi kuona watu tofauti na wachina wanaenda China kutafuta maisha.
Marekani kuna fursa nyingi sana, muziki, uigizaji, mpira, ngumi (boxing, mieleka, kick boxing n.k), kuna mashindano ya kuvuta magari n.k
Hapo Uingereza kubeba box na kufagia na kuzoa taka mtaani analipwa pesa nzuri kuliko manager wa bank China. Hata hapa Tanzania, wachina wanalipa pesa kidogo sana halafu kazi ngumu
Huyu hapa Roma Mkatoliki yuko Marekani angalia anavyolalamika maisha ya huko.

Vijana wa kibongo mnavyoona movies za Hollywood na videos za music mnafikiri kiwanja life ni jepesi sana


View: https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1917591600483688901?t=PqGJetadExVo7fzFlr3kvA&s=19
 
Maisha yangekuwa rahisi China, usingeona wachina wanachoma mahindi Kariakoo, kuuza mitumba na kazi ndogo ndogo mpaka wananchi wanalalamika Kariakoo.
Hapo Zimbabwe na Zambia wachina wanauza mpaka mboga za majani.
Unajua kuwa kuna idadi kubwa ya Wachina Marekani na kila siku wanakwenda huko? China hakuna maisha mazuri kuliko Marekani.
Marekani ni rahisi kupata pesa kuliko China ndiyo maana huwezi kuona watu tofauti na wachina wanaenda China kutafuta maisha.
Marekani kuna fursa nyingi sana, muziki, uigizaji, mpira, ngumi (boxing, mieleka, kick boxing n.k), kuna mashindano ya kuvuta magari n.k
Hapo Uingereza kubeba box na kufagia na kuzoa taka mtaani analipwa pesa nzuri kuliko manager wa bank China. Hata hapa Tanzania, wachina wanalipa pesa kidogo sana halafu kazi ngumu
Screenshot_20250604-221559_X.jpg
 
Hapo Uingereza kubeba box na kufagia na kuzoa taka mtaani analipwa pesa nzuri kuliko manager wa bank China. Hata hapa Tanzania, wachina wanalipa pesa kidogo sana halafu kazi ngumu
Hivi unayajua maisha ya Uingereza au unaropoka tu?

Yaani kuishi 2nd tier city nchini China kama Chengdu ni bora kwa mbali kuliko London.

Hapo sizungumzii 1st tier cities kama Shanghai au Shenzhen
 
Marekani wana sheria ngumu kwa wageni tofauti na China ndio maana unaona ajira kwa watu wa kawaida zipo tofauti na China ambako leo unaweza kwenda kufata Visa na ukawa na uhakika wiki hiyo hiyo ya safari wakati USA kitu kama hicho hakipo..
Suppose una degree zako na experience ya kazi nchini kwako then baadae unaanza kutafuta opportunities nchi za nje
Iwe ni Mechanical Engineer, mwalimu, mhasibu, mbeba maboksi, mwosha magari au kazi yoyote ni rahisi kupata ajira Marekani kuliko China
China hata kupata citizenship ni Impossible
 
Huyu hapa Roma Mkatoliki yuko Marekani angalia anavyolalamika maisha ya huko.

Vijana wa kibongo mnavyoona movies za Hollywood na video za music mnafikiri kiwanja life ni jepesi sana


View: https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1917591600483688901?t=PqGJetadExVo7fzFlr3kvA&s=19

Mbona hata kwenye movie za Hollywood huwa wanalalamikia taxes
Marekani kodi ni kubwa of course, na mzunguko wa pesa ni mkubwa pia plus ni rahisi kuzipata uwe mchina, mbongo nk kuliko China
 
Maisha ya Uingereza yapoje?
Kuanzia rent cost ya jiji kama London na vyakula ni habari nyingine

Mbona hata kwenye movie za Hollywood huwa wanalalamikia taxes
Marekani kodi ni kubwa of course, na mzunguko wa pesa ni mkubwa pia plus ni rahisi kuzipata uwe mchina, mbongo nk kuliko China
Mzee kupata pesa na huku cost of living iko juu kuna faida gani? Umesoma vizuri anachosema Roma kwenye screenshot ya pili?

Nilishasema mambo yanakuwa magumu mpaka wengi wanaishi kwa kadi za mikopo

Vijana wa Kiafrika mna ujinga mwingi sana kwenye kuchanganua mambo. Akili zimelala mno
​
 
Kama unapenda freedom, diversity, and creativity, USA inaweza kukuvutia zaidi,,but kama unathamini efficiency, order, and modern development, basi miji ya China inafanya vizuri sana.

Kiufupi,, China cities are more advanced and orderly, while USA cities are more diverse and open
 
Ukitaka kwenda kununua Kung Fu shoes nenda China, maana hata kaburi la Bruce Lee lipo Seattle, WA
Jamaa alizikwa Lake view cemetery, lakini alizaliwa pia San Francisco CA kwenye hospitali ya kichina...wachina waliona mbali, yan mwaka 1940 walikuwa washajijengea hospitali yao CA hawataki kurudi kwao,and sio mchezo, Jet lee mwenyewe alishawah kuna mmarekani 😂😂😂
 
Hakuna kilichokizuri kwetu unapoanza kufanisha nchi hizi zilizoendelea na hizi zetu. Iwe ustaarabu, chakula, elimu, afya, miundombinu yote ya usafiri, watu wenyewe kimuonekano, akili, yaani kila kitu.
Sisi tumeshindwa kila kitu. Tunachofanana ni kuvuta hewa tu 😂😂
Na wenzetu hewa wanayovuta ni safi,sisi huku hewa tunayovuta imejaa uvundo.
 
Tanzania:
1. Chalinze
1749086835144.png


2. Mtwara
1749086914689.png

3. Kigoma
1749088013231.png

4. Tabora
1749088079522.png
 

Attachments

  • 1749086754453.png
    1749086754453.png
    376.2 KB · Views: 16
  • 1749087197031.png
    1749087197031.png
    104.6 KB · Views: 30
  • 1749087269507.png
    1749087269507.png
    105 KB · Views: 21
Back
Top Bottom