Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,289
Mbona hatuwaoni waingereza wakichoma mahindi Kariakoo?Hivi unayajua maisha ya Uingereza au unaropoka tu?
Yaani kuishi 2nd tier city nchini China kama Chengdu ni bora kwa mbali kuliko London.
Hapo sizungumzii 1st tier cities kama Shanghai au Shenzhen
Maisha ya Uingereza ni nafuu kuliko ya sehemu yoyote China, hapo Kariakoo wachina wanafanya umachinga mpaka wanachoma mahindi