USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

China maisha ni rahisi kuliko Marekani

Linganisha bei za bidhaa na huduma zilezile zinazopatikana China na Marekani kwa USD utajionea
Maisha yangekuwa rahisi China usingekuwa unaw
China maisha ni rahisi kuliko Marekani

Linganisha bei za bidhaa na huduma zilezile zinazopatikana China na Marekani kwa USD utajionea
Kuwa na bei rahisi ya bidhaa China haijalishi wananchi wanamaisha mazuri sana.
Wachina kuchoma mahindi kwenye nchi za kiafrika hiyo inamaanisha kwao ni maisha magumu sana.
Kenya ilishawatimua wachina
Marekani bidhaa Marekani ni ghari ila watu wana maisha mazuri na wananunua kila siku. Hakuna muafrika anayetamani kwenda China kutafuta maisha
 
Kuna faida gani ikiwa ukirudi kitaa bei ya bidhaa na huduma ni kubwa?
Ila uwezo wa kununua hizo bidhaa za ghari wanazo ila huko kitaa bei rahisi ya bidhaa ila wananchi hawana hela.
Fuatilia mchezo wa mieleka, tiketi zinauzwa USD ngapi lakini watu ni nyomi wanaingia halafu cha kushangaza bei ya tiketi ya mieleka ni bajeti ya chakula kwa wananchi ya wachina lakini hawana uwezo huo.
Kazi za wachina hazina hela, kazi ngumu ila malipo kidogo
 
Hawana ubavu huo, hizi habari unazitoleaga wapi? Wiki kama 3 zilizopita Ruto alikuwa China kuomba msaada
Mchina akupe msaada? Hao wachina walikuwa kama wa Tanzania kuchoma mahindi walitimuliwa wote
 
Marekani bidhaa Marekani ni ghari ila watu wana maisha mazuri na wananunua kila siku
Kama maisha mazuri inakuwaje kuna homeless?

20240526_005555.jpg

California moja hiyo, mwamba akiwa nje ya mjengo wake
 
Sasa ni nini kinachopima welfare ya watu katika nchi?
Kipato cha mtu mmoja mmoja. Hapa Tanzania kuna mikoa wanauza chai 100 ila bado wananchi hawana hela.
Mchina kutoka kwao, miji mizuri kuja kuchoma mahindi Tanzania hali ni ngumu
 
Kipato cha mtu mmoja mmoja. Hapa Tanzania kuna mikoa wanauza chai 100 ila bado wananchi hawana hela.
Mchina kutoka kwao, miji mizuri kuja kuchoma mahindi Tanzania hali ni ngumu
Sijawahi kuwaona Wachina wanaochoma mahindi Tz
 
Kama maisha mazuri inakuwaje kuna homeless?

View attachment 3356987

California moja hiyo, mwamba akiwa nje ya mjengo wake
Marekani sio perfect na hakuna nchi perfect duniani, so why unashangaa kuona homeless people Marekani?
Mwenzako anaongelea majority of Americans wana maisha mazuri kuliko Wachina (Average Americans na Average Chinese)
Sio hao ma homeless ulioenda kuwa google
 
Wachina wenyewe wanaota ndoto kuhusu marekani, kwa mwaka watu laki mbili kutoka china uenda marekani kusoma, ukiangalia miji ya kichina ni kama artificial vile
Ndo maana mnafeli mitihani unaulizwa hiki unajibu hiki
 
😂😂 Mimi binafsi huwa ninawaambia watu ninaoishi nao kuwa hakuna nchi nzuri duniani kama Marekani
Huwa wanabisha sana na kuitajaChina kama nchi iliyoendelea na nzuri kuliko Marekani
Leo nikaamua nije nione na mawazo ya wana JF yakoje
Uko sahihi mkurugenzi.... Me mwenyewe Huwa naiwazia miji kama Miami, Las Vegas, Oklahoma City, Chicago, New York, n.k... achana na kutembelea majimbo kama Kentucky, Massachusetts, Illinois, Pennsylvania, Virginia,.... Acha kabisa...
Aisee... Marekani balaa....
 
USA ni miji ya kizamani wakati China kajenga miji mipya mingi na kuboresha ya zamani

Ngoja Trump atatuambia akienda huko
 
Back
Top Bottom