Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Bashing'waa.Wajinga ni nani?
Bashing'waa.Wajinga ni nani?
Sasa hayo majiji ni mazuri kuanzia majengo hadi mandhari kuliko majiji mengi tu hapo US na China na yana upekee mkubwa hapo sijata MunichYeah nimeangalia picha na baadhi ya video pia
Marekani wana sheria ngumu kwa wageni tofauti na China ndio maana unaona ajira kwa watu wa kawaida zipo tofauti na China ambako leo unaweza kwenda kufata Visa na ukawa na uhakika wiki hiyo hiyo ya safari wakati USA kitu kama hicho hakipo..Haya matusi pembeni, mi sikuwezi kwa matusi
Turudi kwenye mada, Kati ya China na Marekani wapi kuna fursa nyingi kwa watu wa kawaida, achilia mbali makampuni
Hakuna kilichokizuri kwetu unapoanza kufanisha nchi hizi zilizoendelea na hizi zetu. Iwe ustaarabu, chakula, elimu, afya, miundombinu yote ya usafiri, watu wenyewe kimuonekano, akili, yaani kila kitu.Miji ya wenzetu yote ni misafi lakini angalia ya Tanzania Sasa,unaweza kitapika maana Kila sehemu chemba zinavuja maji taka
Team USA Bebe...Ila nyie Marekani pazuri jamani tuache utani 😂😂
Tupo pamoja,mie nilienda Kigali,Kwa kina Chama na kule waliko gombana na Bashe😀😀Seriously sijawahi kufika mji hata mmoja niliotaja hapo
Since I'm still young nina ndoto za kufika kote huko. Hususani Marekani
Huku roho mbayaHakuna kilichokizuri kwetu unapoanza kufanisha nchi hizi zilizoendelea na hizi zetu. Iwe ustaarabu, chakula, elimu, afya, miundombinu yote ya usafiri, watu wenyewe kimuonekano, akili, yaani kila kitu.
Sisi tumeshindwa kila kitu. Tunachofanana ni kuvuta hewa tu 😂😂
Maisha yangekuwa rahisi China, usingeona wachina wanachoma mahindi Kariakoo, kuuza mitumba na kazi ndogo ndogo mpaka wananchi wanalalamika Kariakoo.High cost of living imefanya Wamarekani wengi waishi kwa credit cards. Life liko tight sana. Kipato cha wengi hakitoshelezi kuafford mahitaji
Umewahi kuona air quality ya majiji ya China miaka ya karibuni?
Hapo ukisasa wanataka kufanana ni kina Kumamoto Kawasaki kule.Kwa Uzuri,i mean Uzuri,miji ya China ndiyo mizuri na ya kisasa.
Miji mizuri kwanini sasa wachina wanakuja kuchoma mahindi kariakoo na kufanya kazi za machinga mpaka watanzania wanalalamika kwa serikali yao wananyang'anywa kazi zao?Kwa Uzuri,i mean Uzuri,miji ya China ndiyo mizuri na ya kisasa.
Unajuwa maana ya uzuri?Hata ukiambiwa msichana yule ni mzuri maana yake ni mzuri haijaalishi ni malaya au mamantilie uzuri unabaki pale pale.Miji ya China ni mizuri kushinda ya Marekani.Miji mizuri kwanini sasa wachina wanakuja kuchoma mahindi kariakoo na kufanya kazi za machinga mpaka watanzania wanalalamika kwa serikali yao wananyang'anywa kazi zao?
China hakuna maisha. Bila wabongo kuandamana, wachina wangekuwa wanalima mpaka bustani za mboga mboga.Ni ujingaujinga kufananisha China na USA.
Huo mfano wa miji mizuri na mwanamke umeukosea.Unajuwa maana ya uzuri?Hata ukiambiwa msichana yule ni mzuri maana yake ni mzuri haijaalishi ni malaya au mamantilie uzuri unabaki pale pale.Miji ya China ni mizuri kushinda ya Marekani.
Tunaongelea Uzuri siyo kutafuta pesa,miji ya China ni mizuri na ya kisasa.Huo mfano wa miji mizuri na mwanamke umeukosea.
Turudi kwenye mada. Hiyo miji siyo mizuri kuliko ya Newyork City, miji mizuri na pesa ipo. Utaniambia una ghorofa halafu watoto wako wanalala njaa?
Wewe unapenda ukatafute maisha China au Marekani?