China ina watu wengi kuliko USA ila bado USA ina GDP kubwa zaidIngekuwa population ya China ni sawa na USA, GDP ya China ingekuwa kubwa zaidi.
Kuishi ama kufanya kazi na kutafuta maisha? Hivi ni vitu viwili tofauti.Miji mizuri zaidi ni ile ambayo watu wengi zaidi wa mataifa mbalimbali wanatamani au wanapigania kwenda kuishi
Miji mizuri zaidi ni ile inayovutia watu kutoka pande nyingi zaidi au zote za dunia kwenda kuishi. Ni ujinga kufikiria watu wengi zaidi watachagua kuja kuishi Dar badala ya California eti kwa sababu ina gharama ndogo kuliko California, watu wachache kuliko California na huduma za msingi.Kuishi ama kufanya kazi na kutafuta maisha? Hivi ni vitu viwili tofauti.
Wakati wa Covid kulifanyika utafiti na Dubai ilishinda kwa overwhelming votes, Je Dubai ndio jiji bora zaidi Duniani? Hapana, linapendwa tu kwa vile halina kodi
The Most Popular Cities for Moving Abroad | Remitly
We used search data to find the most popular cities around the world for people who want to live and work overseas. See what we discovered here.www.remitly.com
Hii ni personal opinion yangu tu, jiji bora ni lile ambalo cost ya Maisha ni ndogo, population ndogo na unapata huduma zote za muhimu, Mengi utayakuta Ulaya sehemu kama Uswisi na Norway, Malysia, Bali Indonesia huko, kama ni UAE basi miji kama Abu Dhabi na sio Dubai etc
Xi Ji Ping wa JF amegonea hii komenti yako.Wachina wanatamani Kufika America hata Mtoto wa Rais wa China anasoma Marekani Havard, Ni wamarekani wachache sana wanatamani Kufika China na Pako accessible kama wakitaka
Achana na tafiti za kubumba, wewe mbongo gani wa kawaida umewahi kumsikia au kumuona akitamani kwenda kuishi Dubai kabisa. Hata hao wakina Kusaga na Mo ambao tunaambiwa wamehamishia makazi yao Dubai bado kila siku tunawaona hapa Dar.Kuishi ama kufanya kazi na kutafuta maisha? Hivi ni vitu viwili tofauti.
Wakati wa Covid kulifanyika utafiti na Dubai ilishinda kwa overwhelming votes, Je Dubai ndio jiji bora zaidi Duniani? Hapana, linapendwa tu kwa vile halina kodi
The Most Popular Cities for Moving Abroad | Remitly
We used search data to find the most popular cities around the world for people who want to live and work overseas. See what we discovered here.www.remitly.com
Hii ni personal opinion yangu tu, jiji bora ni lile ambalo cost ya Maisha ni ndogo, population ndogo na unapata huduma zote za muhimu, Mengi utayakuta Ulaya sehemu kama Uswisi na Norway, Malysia, Bali Indonesia huko, kama ni UAE basi miji kama Abu Dhabi na sio Dubai etc
Xi Jinping mwenyewe yuko kwenye foleni ndefu ya visa ya kuingia US.
Hizo sababu lukuki zinazofanya Wachina wakimbilie miji mikubwa ya Marekani ndio uzuri wa miji ya Marekani.Naona raia zimeweka mahaba mbele kuliko uhalisia, Miji mingi ya Uchina imeipiga fimbo miji ya Marekani, lakini hi habari watu wa upinde hawawezi kubali, swala la wachina kukimbilia marekani kuna sababu lukuki zinazo pelekea wao kukimbilia huko, ila hilo halizuii miji ya Uchina kuwa ya kuvutia zaidi kuliko Marekani.
Kuna fursa sana?Ita wajinga wengi kama Afrika.China kuna fursa sana ndio maana makampuni mengi ya Marekani yanakimbilia kuwekeza China
GM
Ford
KFC
Starbucks
McDonalds
Hp
Dell
Apple
Tesla
Nike
n.k
Ni vile tu China ina watu wengi. Infrastructure za kuhudumia watu bilioni 1.4 si sawa na zile za kuhudumia watu milioni 340"China's progress in advanced infrastructure is more than 100 times faster than the US."
– Elon Musk (Feb 2018 on twitter)
Kwa nini hayo makampuni hayakuja kuwekeza Tanzania?Kuna fursa sana?Ita wajinga wengi kama Afrika.
Hiyo ni kwa makampuni tena ni kwa vile tu Wachina wamezaliana sana kama kuku kwa hiyo wamarekani wameona watumie hiyo fursaChina kuna fursa sana ndio maana makampuni mengi ya Marekani yanapenda kuwekeza China
GM
Ford
KFC
Starbucks
McDonalds
Hp
Dell
Apple
Tesla
Nike
n.k
Wanafanya majaribio kwa wajinga wakuu.Kwa nini hayo makampuni hayakuja kuwekeza Tanzania?