Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi huo sio uchumi wa uzalishaji ni wa mabepari wachache tu hapoMtu akishakuzidi uchumi sio mwenzio! Ata ndani ya familia ndugu masikini unyanyapaliwa
Wait and see.Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.
Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi
Mchina ana safari ndefu Sana.
Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
Kwa hiyo? Mama yako wa kizmkazi anatoa milion tano goli la mama wakati shule kibao hazina madarasaUchumi wakati watu kibao ni homeless kwenye Hilo Taifa
Ngoja waje wale wanaoichukia USA bila sababu za msingi watakuambia Canada na China ndizo zipo juu kiuchumi.Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.
Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi
Mchina ana safari ndefu Sana.
Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
Bado huwezi kulinganisha na taifa lako.Uchumi wakati watu kibao ni homeless kwenye Hilo Taifa
Na vyoo hakuna.Wananchi wanakula viwavijeshi.Kwa hiyo? Mama yako wa kizmkazi anatoa milion tano goli la mama wakati shule kibao hazina madarasa
Atamvuta muda si mrefuMuda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.
Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi
Mchina ana safari ndefu Sana.
Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
Kina nani hao chiefUchumi huo sio uchumi wa uzalishaji ni wa mabepari wachache tu hapo
Walizaliana mno na wakawa na utawala wa kibabe. Mfano jpm angetawala hata miaka 40-50 nadhani tungeweza kwenda mbali mnohuwa nashangazwa sana na waafrika wanapoicheka uchina kuwa na uchumi mdogo vs USA, vp khs afrika yenu vs USA? kwa nini mnaiponda China? au wewe ni USA au EU labda? au unajisahau na kufikiri wewe ni mzungu labda? mnasahahu miaka ya 60’ china ilikuwa masikini kama au klk hata afrika yetu, miaka 60 baadaye wameondoa njaa, wameboresha maisha ya watu wao, leo hii ni one of important countries duniani, wakati afrika yenu imerudi nyuma, per capital income ya afrika yetu ilikuwa higher wakati wa ukoloni klk leo hii, bado tunahangaika na chakula tu milo 3 kwa siku shida, sijaongelea mambo ya afya au hata makazi lkn bado unacheka Uchina?