Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Ngoja akuletee video zake za magame na vile vipande vya hollywoodMK254 namna gani tena hapa!
Tuikatae vita kwa mbinu zote.Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv.
Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni kikubwa zaidi toka kuanza kwa operesheni ya kijeshi nchini Ukraine.
Eti MK254 hivi ni kweli hiyo?
======
View attachment 2383138
View attachment 2383139
Huyu jamaa anaogopwa sana na CIA waliteseka sana allepo syriaMarekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv.
Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni kikubwa zaidi toka kuanza kwa operesheni ya kijeshi nchini Ukraine.
Eti MK254 hivi ni kweli hiyo?
======
View attachment 2383138
View attachment 2383139
Kama wapo kenge wasioolewa sharti tuwaponde vichwa ili waelewe na amani ipatikane๐๐Tuikatae vita kwa mbinu zote.
Tusimame kuhubiri amani na upatanisho
Umenipasua mbavu.Kama wapo kenge wasioolewa sharti tuwaponde vichwa ili waelewe na amani ipatikane๐๐
Na mbaya zaidi kwenye miji yote aliyopiga ame-target miundombinu ya nishatiUraaaaaaa Jana wa Ukraine wa Kwa Buza, wamepigwa kipigo Ambacho hawajawah kukiona.
Hamna Mji ulikua safe๐๐
View attachment 2383150
Lazima waite maji mmma na lazima wajue ugaidi sio deal๐๐Na mbaya zaidi kwenye miji yote aliyopiga ame-target miundombinu ya nishati
Zele ze comedian solder anaiponza duniadudus njoo tuomboleze...anachofanyiwa Zele sio poa kabisa.
Hahahahhaha hii ndio ile moment tulikuwa tunaisubiria kwa hamu kubwa. Uraaa!!!Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv.
Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni kikubwa zaidi toka kuanza kwa operesheni ya kijeshi nchini Ukraine.
Eti MK254 hivi ni kweli hiyo?
======
View attachment 2383138
View attachment 2383139