Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv.
Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni kikubwa zaidi toka kuanza kwa operesheni ya kijeshi nchini Ukraine.
Eti MK254 hivi ni kweli hiyo?
======
Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni kikubwa zaidi toka kuanza kwa operesheni ya kijeshi nchini Ukraine.
Eti MK254 hivi ni kweli hiyo?
======