Usafi sio kufagia barabara tuu ni pamoja na kufyeka kuchimba mitaro na kurekebisha barabara zenye makorongo

Usafi sio kufagia barabara tuu ni pamoja na kufyeka kuchimba mitaro na kurekebisha barabara zenye makorongo

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Kufuatia tamko la mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Chalamila kuwa tare 23 vyombo vya ulinzi vitafanya usafi mkoa wa dar salaam mi naona kuwa kwa kuwa hivyi vyombo viko vingi angepanga kwa mafungu kuwa chombo hiki kije na maslesha chombo hiki kije na sururu chombo hiki kije reky na hiki kije na jembe shoka na chepe.
Sio waje na smg na mabomu ya kutoa machozi hapana.

Huku mtaani barabara ni mbaya sana zina makorongo kuna miti imeota hovyo hovyo mizizi imetambaa hadi barabarani na mitaro imejiba kwa madogo.

Kwa kuwa hivyo vyombo nguvu ni kubwa mi nilikua naomba waingie mtaami kabisa (sio watembee kwenye lami tuu) wajaze na vifusi barabara za mitaa zenye makorongo (kama jeshini tulivyokuwa tunajaza tena kwa kubebq na ndoo)

Huo ndio uzalendo wa nchi sio tena watoke huku wamevaa combati na makofia ya chuma kama wanaingia uwanja wa mapambano.
TUkutane tarehe 23
 
Back
Top Bottom