Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kukaa bila kuoga kwa siku mbili then uone watu watakavokukimbia
Nop, na siwez
Sikutaka kusema ila kiukweli.... kuna friend of mine yamemkuta
mmmmh I smell something fishy! kama vile ni wewe mwenyewe! maana humu jf watu huwa wanaleta uzi wanajifanya wao ni third party, mareporter si msemege tu mwenzenu yamenikuta na mnaomba yasiwakute wengine?Sikutaka kusema ila kiukweli.... kuna friend of mine yamemkuta
kazi gani hiyo... had usivae?
kazi gani hiyo... had usivae?
Sipo kihivyo wangu.....
Mm kweli joto la dar na shughuli zangu siwezi kuvaa boxer
Alianguka mbele za watu....
si unajua tena majukumu ya extended family!Sasa ndo ushone shone weeeee......... hadi inatisha
Kabisa we ni kama mimi Nina boxer nyingi lakin sina hata inerest za kuzivaa! Huwa napenda kuvaa pensi tu au bukta naziacha bom zinapigwa upepo!