MAISHA BENAKO
Member
- Jun 21, 2025
- 16
- 15
Tatizo ni lipi. Inawezekana naye yumo safarini na anahitaji wa kusafiri nao.Unaweka ratiba halafu unachangia nauli???
Asante.Nenda kwa watani zenu waha ukangojee ratiba za mgr MJE mkiburuzwa mpk kamata
Tatizo ni lipi. Inawezekana naye yumo safarini na anahitaji wa kusafiri nao.
Asante sana.Upo sahihi kwa uwezo wako wa kufikiri