Usafiri uitwao Neno

Kwanza hongera kwa kuwa msomaji. Tushawishi na wengine ambao hatujawahi kuisoma, tutufaikaje? Ungetupa alau shuhuda zako binafsi au za watu wengine za wdliosaidika kupitia Qur'an.
Anza kwa kusoma hiyo mistari michache ya Qur'an niliyokuwekea hapo juu. Na kila unapoiona rangi ya blue ni link itayokufikisha uisome zaidi Qur'an.

Jionee "ushuhuda" wa muujiza wa Qur'an:

 
Anza kwa kusoma hiyo mistari michache ya Qur'an niliyokuwekea hapo juu. Na kila unapoiona rangi ya blue ni link itayokufikisha uisome zaidi Qur'an.

Jionee "ushuhuda" wa muujiza wa Qur'an:

 

Attachments

  • Miraculously_Healed_While_Reading_the_Bible_-_CBN.com(144p).mp4
    9.1 MB
GoldDhahabu

Nimeitazama hiyo video clip, nilicho notice hapo huyo ni "actress" na "vision" anazoongelea ni majegajegaa tu yasiyo na uhalisia. Hayo ni kwa ajili ya "wajinga ndiyo waliwao".


Waislaam muujiza mmoja wa kipekee tunaoishi nao na ambao upo wazi kwa binaadam yeyote, wa "neno" la Mwenyeezi Mungu ni Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Kwanza fikiri tu, kitabu kilichoteremshwa kwa Lugha ya Kiarabu kimeweza kuhifadhiwa na watu kutoka kila sehemu ya dunia na hawakijuwi Kiarabu. Huo pekee ni muujiza ambao hautaupata kutoka kitabu chochote kile. Fikiri.
 
Hatushindanishi bali kinachotakiwa kueleweka kama tunaloliongelea ni "neno la Mungu" kweli?

Maana ikiwa tutanukuu neno lisilo la Mungu na kusema "hili ni neno la Mungu", tutakuwa tunajidanganya na tunaudanganya umma.

Ni muhimu kujiridhisha kuwa "neno la Mungu" la kweli ni lipi.

Waislam siyo imani ya upofu (islam is not a blind faith).

Qur'an yenyewe inatufundisha na kujidhirisha kwa kutupa challenge ambayo huikuti kwenye kitabu kingine chochote, hivi:


Qur'an4:82.
Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi 82
 
Asante sana!
 
Kwa hiyo kuhifadhiwa na watu ndio ishara ya neno la Mungu?
Naam, ni ishara mojawapo tena ni muujiza.

Tuendelee na uzi, utaziona ishara nyingi sana nyingine. Ni muujza.
 
Amina!
 
Ni sahihi kabisa!
 
Wewe hujengi hoja ila una tetea dini yako ya uislamu.
 
Funguka zaidi mkuu, wengi tunafaike na hii elimu tusiyoifahamu bado.
Kwa ufupi ni kuamini kisemwacho katika Biblia kuhusu sisi. Mathalani, Zaburi 103:3: "Akusamehe maovu yako yote,
Akuponya magonjwa yako yote."

Ukitubu dhambi zako kwa Mungu (si kwa wanadamu), kwanza anakusamehe na pili anakuponya pia. Double blessings!
 
Neno la Mungu linaponya,Neno la Mungu linaokoa ukiamini Mwenyezi Mungu atakupatia hitaji lako.Binafsi nina ushuhuda na neno la bwana amenitendea miujiza ambayo kibinadamu ilionekana ngumu.Ambao hawaamini katika uwezo wa Mwenyezi Mungu au uwepo wake hunisikitisha sana.Maana baada ya haya maisha ya duniani watapatwa na majuto pale ambapo waliyedhani hayupo YUPO.
 
Kutubu kwa binadamu na sio kwa Mungu ni aina gani ya kutubu?
 
Una uthibitisho yupo?

Unadhani Mungu yupo ama una uthibitisho Mungu yupo?

Ukisha sema "unadhani" automatically hicho kitu Hakipo ni imaginations tu.

Hivyo kama Huna uthibitisho wa uwepo wa Mungu, Huyo Mungu hayupo. Ni mawazo yako tu(Imaginations).
 
We nawe jitu zima hovyo, hyo promo yako ushafeli. Kwani hicho kitabu chako si kimeandikwa na wanadamu?? Acha dharau
 
Hii dini siiamini kabisa aisee.
Mungu anaepiganiwa na wanadam badala ya kujipigania mwenyewe.
 
We nawe jitu zima hovyo, hyo promo yako ushafeli. Kwani hicho kitabu chako si kimeandikwa na wanadamu?? Acha dharau
Kimehifadhiwa mioyoni mwa binadam.

Hizo kopi za kuandikwa hata uzichome zote. Zitabaki Qur'an zinazotembea. To the dot.


Vipi, kijana mbona umekasirika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…