Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Kuna watu wanatubu madhambi yao kwa watu, si kwa Mungu. Wanaamini anasamehe kupitia wao. Ila ukimkosea mtu unamwomba msamaha moja kwa moja akusamehe makosa yako kwake.Kutubu kwa binadamu na sio kwa Mungu ni aina gani ya kutubu?
Okay, basi mimi si mmoja wenu mkuu.Safi sana, na Uislam hautaki yeyote aamini tu kama kipofu, unatakiwa ujiridhishe.
Umewahi kuisoma Qur'an?
wewe ni dini ipi?Okay, basi mimi si mmoja wenu mkuu.
Mkristo.Sawa kabisa,
wewe ni dini ipi?
Anza kwa kusoma hiyo mistari michache ya Qur'an niliyokuwekea hapo juu. Na kila unapoiona rangi ya blue ni link itayokufikisha uisome zaidi Qur'an.
Jionee "ushuhuda" wa muujiza wa Qur'an:
Pole yako ewe wakala wa shetaniMumzibe mdomo nani?
Ninyi wafia dini hamuwezi kujenga hoja kuhusu uwepo wa huyo Mungu.
Hata shetani mwenyewe humjui na huwezi Thibitisha uwepo wake ni dhana tu iliyo jengeka kichwani mwako.Pole yako ewe wakala wa shetani
SawaHata shetani mwenyewe humjui na huwezi Thibitisha uwepo wake ni dhana tu iliyo jengeka kichwani mwako.