ujinga ni kutumia ndege za kurushwa masafa ya kimataifa kwa safari za ndani. kingine pale atcl kuna lundo la wafanyakazi waliajiriwa kiholela bin kujuana bado ufisadi. ukiwaza mambo ya ukimani utachanganyikiwa.Nadhani moja ya sababu ni " ECONOMIES OF SCALE. Mifano uliotoa wanatumia ndege zinazibeba watu zaidi ya 250 and almost full booked. But still, Atcl na wenzake, nauli zipo unfairly high.
Ni wapi ulisoma kuwa sababu za kuanzisha upya Air Tanzania zilikuwa ni kushusha bei za nauli ya ndege?Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.
Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga wanasiasa na wafanyabishara wakubwa.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Caracas, Venezuela hadi Madrid, Uhispania ni takriban $290 sawa na TZS 864,311 - hiyo ni nchi hadi nchi kwenye mabara mawili tofauti.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Bukoba, Tanzania hadi Dar es Salaam, Tanzania ni takriban TZS 631,000 sawa na €212 - hiyo ni mji hadi mji ndani ya nchi.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Fort Lauderdale, USA hadi Cartagena au Barranquilla, Colombia ni takriban $69 sawa na TZS 189,000 - hiyo ni nchi hadi nchi.
Safari ya ndege ya unganisho kutoka Mbeya, Tanzania hadi Mwanza, Tanzania ni takriban 1,100,000 sawa na $403 - hiyo ni jiji hadi jiji ndani ya nchi.
Hii ni mifano midogo sana maana kuna safari za kutoka Seoul, Korea Kusini hadi Barcelona kwa TZS 1,023,000.
Swali langu ni kwanini ATCL na washirika wake ndani ya nchi wana gharama kubwa katika usafirishaji! Je wanatumia teknolojia na mifumo tofauti na ghali ukilinganisha na mataifa mengine?
Ni sababu zipi za msingi zinazofanya flights za ndani ya nchi kuwa ghali maradufu kiuhalisia na hata ukilinganisha na mataifa mengine?
Ni maelekezo kutoka juu kuendelea kuwafinya watanzania wazidi kuishi kijamaa?
JamiiForums naomba msaada wa kuwatafuta ATCL, Mamlaka ya Anga na Wizara ya Uchukuzi watupatie ufafanuzi na statistics zinazohalalisha gharama za usafiri wa anga.
Kodi pasua kichwa.Inashangaza gharama ya usafiri wa anga ndani ya nchi kuwa kubwa hata kufikia mara mbili ya gharama ya flight kutoka bara moja hadi lingine.
Ni vyema kufahamu sababu zilizo nyuma ya gharama hizi!
Kufariki kwa Magufuli lilikuwa ni pigo kubwa sana kwa nchi hiiUsafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.
Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga wanasiasa na wafanyabishara wakubwa.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Caracas, Venezuela hadi Madrid, Uhispania ni takriban $290 sawa na TZS 864,311 - hiyo ni nchi hadi nchi kwenye mabara mawili tofauti.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Bukoba, Tanzania hadi Dar es Salaam, Tanzania ni takriban TZS 631,000 sawa na €212 - hiyo ni mji hadi mji ndani ya nchi.
Safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Fort Lauderdale, USA hadi Cartagena au Barranquilla, Colombia ni takriban $69 sawa na TZS 189,000 - hiyo ni nchi hadi nchi.
Safari ya ndege ya unganisho kutoka Mbeya, Tanzania hadi Mwanza, Tanzania ni takriban 1,100,000 sawa na $403 - hiyo ni jiji hadi jiji ndani ya nchi.
Hii ni mifano midogo sana maana kuna safari za kutoka Seoul, Korea Kusini hadi Barcelona kwa TZS 1,023,000.
Swali langu ni kwanini ATCL na washirika wake ndani ya nchi wana gharama kubwa katika usafirishaji! Je wanatumia teknolojia na mifumo tofauti na ghali ukilinganisha na mataifa mengine?
Ni sababu zipi za msingi zinazofanya flights za ndani ya nchi kuwa ghali maradufu kiuhalisia na hata ukilinganisha na mataifa mengine?
Ni maelekezo kutoka juu kuendelea kuwafinya watanzania wazidi kuishi kijamaa?
JamiiForums naomba msaada wa kuwatafuta ATCL, Mamlaka ya Anga na Wizara ya Uchukuzi watupatie ufafanuzi na statistics zinazohalalisha gharama za usafiri wa anga.
Inapishana kama laki tuYaani nauli ya dar-bukoba,
Haina tofauti na nauli Dar-DUBAI🤔
Sema hapa kwenye magari hata JPM alifeli, yaani aliendelea kuifurahia kodi kubwa. Magari kodi ilitakiwa iwe sio zaidi ya 1/3 ya bei ya manunuzi. Punguza kodi, wengi wanunue magari upate kodi nyingi na maduka ya vipuri yaongezeke, unakua umekuza na ajira.Mindset za watawala wanaona usafiri wa ndege ni anasa, hivyo hizo anasa wanatakiwa kuzifaidi wachache. Hii pia ipo kwenye umiliki wa magari hapa nchini, inakuaje TRA hujatengeneza gari lakini unachukua kodi sawa na bei ya kununulia hilo gari!!. Nchi hii watu tunafanywa maskini kwa makusudi kabisa. Watawala wameona sisi kuendelea kuwa maskini ndio mtaji wao kuendelea kutawala na kujilimbikizia mali ili kila siku tuwaabudu wao kama miungu watu.
Sasa hapo utashangaa Fast Jet alifanya kazi nchi hii hii lakini bei ilikua chini na hakuendesha shirika kwa hasara. Watu walikula sana mwewe Mwanza Dar kwa siku zilikua safari 4 hivi kwenda na 4 kurudi na zote ndege zinajaa abiriakasome demand and supply..
hakuna cha theory za demand na supply. mbona fastjet aliweza. ishu ni kwamba hakuna kitu kinachosimamiwa na serikali kikafanikiwa. mashirika yote ya serikali ni dhoofu hali. ukiritimba na ushenzi vinanajisi ufanisi. shirika linaendeshwa kama duka.kasome demand and supply..
Kweli kabisa, kuna abiria wengi tu hawajawahi kupanda tena ndege baada ya Fast Jet kufurumushwa. Yaani ATCL wangezidiwa na abiria.Inasikitisha sana flights hazigusiki ndani ya nchi – zinaonekana ni kwa ajili ya watu baadhi.
Leo hii wakipunguza gharama na kuongeza flights, kuna faida kubwa shirika litaingiza na kuchagiza uchumi.
Hasara hii nadhani wanaweza kufidia kwa kuweka Standard ambazo watu watashawishika kulipia sio kiwango ambacho kinaleta mawazo kwa watuPoor Business plan!
Nadhani ni kujaribu kufidia Hasara inayotokana na uendeshaji wa Shirika (rejea CAG report)!
Labda ngoja tusubiri wanauchumi waje!
Nasikia walivyoona bongonyoso wakahamishia biashara za west AfricaSasa hapo utashangaa Fast Jet alifanya kazi nchi hii hii lakini bei ilikua chini na hakuendesha shirika kwa hasara. Watu walikula sana mwewe Mwanza Dar kwa siku zilikua safari 4 hivi kwenda na 4 kurudi na zote ndege zinajaa abiria