Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

Wenye mabasi wataongeza ufanisi, ajali zitapunguwa, huduma zitaboreshwa na bei zitakuwa za kawaida.

Tunaisubiri kwa hamu sana, itachochea sana maendeleo, unakwenda Mwanza tok Dar asubuhi, unafaya shughuli zako, jioni unaondoka kurudi kulala nyumbani Dar, hata kama itakuwa Dollar 100 one way, still ni bora kuliko kulala hoteli.
 
Precision AIR mmesikia hiyo..?! Huenda kifo chenu ki karibu maana nauli yenu ya Dar-KIA-Dar Tsh laki 4+ ni kwa matajiri na wanaolipiwa na makampuni yao!
 
kwahiyo lakithemanini
naenda kwa mama msoffe,ple moshi nakula lunch kesha ,jion najirudia hapa kwa wahaya ofisini ,lol ngoja ni-book sasa lakini nina chipolopolo(mulhat)wangu ana miez 7 atapata lift kweli ama nahitaji kumlipea aghrr


Du wanatafuta watu wa kuwatoa kafara hapandi mtu.
 
I can't dream to fly at such a mind-bending price. Is it real in the first place? Hii ingefaa kuja April 1 siku ya wajanja.

It is possible to have cheep flights. South Africa na Kwenye nchi zilizoendelea unaweza kupanda ndege kwa nauli ndogo kuliko hata ya Train au basi
 
Ni kama Ryanair tu! Kama ulaya kama ulaya................! Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunaruka Paris....Madrid... Manchester.... Kama tunapanda Ubungo Mbagala
 
No admission mwanangu ushasema nchi zilizoendelea. Tanzania imeendelea katika ubabaishaji ndiyo maana natia shaka. Sipingi kuwa hiki kitu hakipo wala hakiwezekani. Kwa Tz natia shaka kutokana na mfumo wetu kulinda tamaa, ufisi,ufisadi na uhovyohovyo kwa wenye makampuni yao. Hivyo usishangae watu wakatumia fursa hii kuwaibia watanzania kama walivyozoea.
 
Airline with such consideration is long overdue...they cut down cost by cleaning the cabin themselves, loading the cargoes and passenger would be buying whatever they want to buy during the flight. I think so....
 
hawa wanakujaga ghafla na kuzma ghafla, wale community airline waliishia wap? cc ndo wa kufanyia majarbio wakishapata results haoo.. utackia znapga kaz south... yani kama bongo muv vile
 
Du wanatafuta watu wa kuwatoa kafara hapandi mtu.

Acha hizo mkuu watu tunataka kusafisha nyota mwisho wa mwezi nikazunguke nayo tu niende nayo hadi mwanza then nigeuze labda na mimi naweza kuja kuwa kama JK baadae full kushinda angani kama popo
 
Wewe nawe kwa uongo!muone mpaka anatoa udenda!!

Mibongo Bwana Limesikia Manchester Macho pima! Endelea kushangaa maghorofa vitu vya kawaida sana, these are pics from my camera taken by me sehemu mbalimbali duniani, Dunia kijiji pUNK IMG_0220.JPGIMG_7220.JPGIMG_5542.JPGIMG_5489.JPGIMG_8091.JPGIMG_8145.JPG
 
kwahiyo lakithemanini
naenda kwa mama msoffe,ple moshi nakula lunch kesha ,jion najirudia hapa kwa wahaya ofisini ,lol ngoja ni-book sasa lakini nina chipolopolo(mulhat)wangu ana miez 7 atapata lift kweli ama nahitaji kumlipea aghrr

kuanzia mwaka mmoja ndio wanalipiwa mpaka 5, bei punguzo.
 
Kaka tuache ubishi piga simu ofisi za 540 utaambiwa nauli ndio hiyo 88 TAX inclusive.

540 mbona imekuwapo tanzania zaid ya miaka 2.toa nauli za awali na tupe bei mpya ila kwa uliyoandika hapa naona kama porojo tu. Nimekuwa najaribu kutafuta location ilipo office yenu sijafanikiwa jitahdini bana muwe na hata web site la sivyo mtakuwa wahuni kama makampuni ya wachina.tupe bei za zamani dar,kigoma,mbeya,arusha,mwanza na zanzibar
 
Acha masikhara Return dsm<->kia ni 88k?

..hakuna cha ajabu hapo,hii inadhiilidha kuwa precision air air washatugeuza mazuzu ukiangalia local plane za nchi za wenzetu ni ndogo sana kuanzia dola 20,lakini hapa tz imekuwa anasa,mfano ukitaka kusafiri toka mwanza to kigoma nauli ni zaidi ya 650000 return ticket,utafikiri unaenda dubai - dar, fastjet karibu sana tz tutapanda tu hata kama ni za mafisadi ili mradi watoa huduma
 
fastjet_livery.jpg


Low cost African airline FastJet has confirmed it will have its first airbase in Tanzania.

The airline will commence flying in November with seats going on sale online a few weeks earlier. Fares will be available from $20 one-way excluding taxes and charges.

The lease for FastJet’s first Airbus A319 aircraft has been signed with lessor BBAM and will arrive in Dar es Salaam next month. Recruitment for crew and ground staff is already well advanced, according to a statement released by the company.

FastJet Chief Executive Ed Winter said: “Our initial focus will be on East Africa with the airline’s first base at Dar es Salaam, Tanzania, where the A319 aircraft has already been approved by the Tanzania Civil Aviation Authority.

This will be followed by a second base in Nairobi, Kenya, once the A319 is approved there. We look forward to bringing a great, reliable and affordable service to the people of East Africa.”

Once established in East Africa, Fast Jet revealed it plans to launch in Accra, Ghana and Luanda Angola


Source: FastJet confirms first airbase in Tanzania

Kwanini wanasahau kule Mbeya?
 
kitu confirmed afisa wao alikuwepo clouds fm asubuhi kwenye power breakfast bei ndo hiyo mshindwe wenyewe
 
Fares will be available from $20 one-way excluding taxes and charges.
Mtanzania tu ndio unaweza ukam fool kwamba utamsafirisha kwa ndege Dar-KIA kwa shilingi elfu thelathini wakati hata piki piki - achilia mbali nauli ya basi - ukikodi pikipiki ikupeleke Moshi hawezi kukubali kwa elfu thelathini.
 
Safi kwa maendeleo ila isiwe kwa muda mfupi ikafa km ilivyokuwa kwa community air. Wapi MFU ATCL na wazee wa fitina PRECISION AIR?
 
Back
Top Bottom